Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Eh Sambusa? zile za nguoni au ah kumbe hizi siku hizi wanauza kama walivyokuwa wanauza kwa Ice Cream za maziwa Pom porilo hahaha. DAZ

    ReplyDelete
  2. Ankal masupu unatutisha hizo sambusa za nyama, hiyo nyama inaweza ikawa ni kidibwa kadogodogo mhh mimi wala sintanunua nikikutana na muuzaji ninapenda sambusa lakini hizi ninawasiwasi na hiyo nyama iliyotumika kutengenezea!

    ReplyDelete
  3. kaka michuzi eeh duu
    hizi sambusa nazikumbuka kwa sababu ni tamu sana baba sambusa angekuwepo hapa ningezinunua zote sambusa zake.
    nakushukuru sana kwa kuweka picha yake.Jamani jamani home sweet home napa miss.
    mdau wa new york

    ReplyDelete
  4. JAMANI WAAFRIKA SISI WE ACHA TU,SINA CHA KUSEMA ZAIDI MUNGU ATUSAIDIE...WAKATI NIPO BONGO MAMBO YA BAGIA,VITUMBUA,SAMBUSA ILIKUWA KAMA KAWA CHA KUSHANGAZA HAKUNA KUHARA KWA KWELI NI MUNGU TU.

    ReplyDelete
  5. watoa maoni wa kwanza na wa pili kalaleni ili mkue.

    ReplyDelete
  6. wewe ndio kalale ukue sababu fikira zako zipo kwengine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...