Home
Unlabelled
sambusa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Eh Sambusa? zile za nguoni au ah kumbe hizi siku hizi wanauza kama walivyokuwa wanauza kwa Ice Cream za maziwa Pom porilo hahaha. DAZ
ReplyDeleteAnkal masupu unatutisha hizo sambusa za nyama, hiyo nyama inaweza ikawa ni kidibwa kadogodogo mhh mimi wala sintanunua nikikutana na muuzaji ninapenda sambusa lakini hizi ninawasiwasi na hiyo nyama iliyotumika kutengenezea!
ReplyDeletekaka michuzi eeh duu
ReplyDeletehizi sambusa nazikumbuka kwa sababu ni tamu sana baba sambusa angekuwepo hapa ningezinunua zote sambusa zake.
nakushukuru sana kwa kuweka picha yake.Jamani jamani home sweet home napa miss.
mdau wa new york
JAMANI WAAFRIKA SISI WE ACHA TU,SINA CHA KUSEMA ZAIDI MUNGU ATUSAIDIE...WAKATI NIPO BONGO MAMBO YA BAGIA,VITUMBUA,SAMBUSA ILIKUWA KAMA KAWA CHA KUSHANGAZA HAKUNA KUHARA KWA KWELI NI MUNGU TU.
ReplyDeletewatoa maoni wa kwanza na wa pili kalaleni ili mkue.
ReplyDeletewewe ndio kalale ukue sababu fikira zako zipo kwengine.
ReplyDelete