Timu ya Tanzania iliyoshiriki ligi ya Inter Embassies, mjini New Delhi, India imetolewa kwa taabu sana katika mashindano hayo yaliyoanza Ijumaa, Februari 26 kwa kuibamiza Timu ya AUSTRIA jumla ya mabao 10 - 1 katika mchezo uliochezwa katika kiwanja cha great Complex - NOIDA.
Katika mchezo huo wa kwanza, ulishuhudiwa na Balozi wa Tanzania nchini India Engeneer John Kijazi sambamba na maofisa mbalimbali.
Timu ya Austria ndiyo ilikuwa ya kwanza kuliona lango la Tanzania kabla ya kumiminiwa mvua ya magoli hayo.
Katika Mchezo wa Jumamosi Timu ya Tanzania iliingia uwanjani kucheza na Timu ya The World - UNICEF ambapo ilitoka sare ya bao 3 -3 na Jumapili ilicheza tena na Timu ya RUSSIA katika kundi 'A'.
Kwa matokeo hayo, Timu ya Tanzania na AUSTRIA zimetolewa katika hatua ya makundi.

ati yatolewa kwa tabu lakini si imetolewa ??
ReplyDeleteMbona MGOSHI Frank Kiondo huonekani???Au kamati ya Ufundi Mgosi?
ReplyDeleteSalaam toka Quebec
we anony wa kwanza stop hatin'.....
ReplyDelete