Home
Unlabelled
ana kwa ana na dina marios
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamni Michuzi mahojiano ya interviews kama hizi yafanyie sehemu zilizotulivu ili mhojwa asikike vizuri. Hapa ni fujo tupu - picha ya mambo yetu ya kibongobongo.
ReplyDeleteMimi ni mshabiki mkubwa wa blogu ya Marios kwa sababu inakupeleka ndani ya maisha ya kila siku ya Watanzania halisi. Nilitaka kusikia anasemaje, lakini hizo fujo zimenifanya nishindwe kabisa.
mimi nilikuwa nafuatilia fujo za nyuma kuliko mahojiano, naomba michuzi utafute mahala tulivu ana ufanye mahojiano upya Please.
ReplyDeletemm nimesikia mtu anaagiza sprite tu
ReplyDelete