Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2010

    Jamni Michuzi mahojiano ya interviews kama hizi yafanyie sehemu zilizotulivu ili mhojwa asikike vizuri. Hapa ni fujo tupu - picha ya mambo yetu ya kibongobongo.
    Mimi ni mshabiki mkubwa wa blogu ya Marios kwa sababu inakupeleka ndani ya maisha ya kila siku ya Watanzania halisi. Nilitaka kusikia anasemaje, lakini hizo fujo zimenifanya nishindwe kabisa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2010

    mimi nilikuwa nafuatilia fujo za nyuma kuliko mahojiano, naomba michuzi utafute mahala tulivu ana ufanye mahojiano upya Please.

    ReplyDelete
  3. mm nimesikia mtu anaagiza sprite tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...