ankal akiwa na uzi mma wa bwawa la maini kwa ajili ya msimu ujao. anaishukuru kampuni ya hillview family ya mji wa Kusoma (Reading) huko Ukerewe kwa zawadi hiyo nono ambayo kwa kweli imemfurahisha mno. Hillview family ni mmoja wa wadhamini wakubwa wa Globu ya Jamii. (waangalie kwa KUBOFYA HAPA)Yaani ile yenye nembo ya awali ya kutangaza kilaji ilikuwa inasumbua wadu wengi kiasi cha kwamba hii inaashiria safari hii bwawa la maini litauza sana ze fulanazzzz.
Bwawa oye!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2010

    jamani ,mbona hamfagilii timu za nyumbani? mwanamuziki akitoka nje kiingilio 30,000 t0 laki moja wa kwetu hapa bongo kiingilio 2000, why?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2010

    ANKO...HVYO HIYO FULANA NDIO ITAKUWA MBADALA YA HYO YA MISTARI AKA KAUKA NIKUVAE...,HAHAHAAAAA...............UTANI TU KAKA.............!

    ReplyDelete
  3. gamba kuffuMay 19, 2010

    namuunga mkono mdau wa hapo juu, uzalendo mbele jamani..tupende vya kwetu kwanza then vya nje vinafuata..jezi ni nzuri lakini michuzi una hata jezi ya timu za nyumbani.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2010

    Very nice 'uzi' performance 30%,

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 19, 2010

    Kipendacho moyo ni dawa. Vya nyumbani hata kama ni vibovu ulazimishe kuvipenda!!! Timu gani inaweza kulingana na 'bwawa la maini' hapa home au uliye-comment ukiangalia mpira unasinzia.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 19, 2010

    Forever bwawa la maini forever,statakuacha kamwe hata ushuke daraja!ankal ntaupata kesho huo uzi zizzou?au nami mpk nitumiwe?nataka jmosi ning'ae!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 19, 2010

    Bora uishangilie Bwawa La Maini, maana leo 19/05/2010 ktk Kombe La Kagame Paka amng'ata Simba bila majibu ( PakaWaSofa 1 Simba 0).

    Mdau
    Jangwani.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 20, 2010

    We mdau hapo juu, hao siku izi hawaitwi Simba. Tangu watoke Misri na kulambwa tano wanaitwa KHALUA KHALUA! Yaani kisusio cha vijana wa mjini.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 20, 2010

    TOREEEEEEEES! NJE CHAMPIONS LEAGUE HATA ILE EURO EUROPA NAYO OUT. HEHEHEHEHEHEHEH.

    RANGI HIYO HAIFAI HATA HAPA NYUMBANI WAZEE WA MISRI WAMECHAPWA NA PAKA. HEHEHEHEHE.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 20, 2010

    uuuuwiiii mbavu zangu zinachomoka ati KHALUA KHALUA! oooh watu wana mamboo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...