

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ama kweli maisha ya kubeba boksi ughaibuni yanachosha, yaani kakitu kadogo tu mnajikuta mnakakuza sana kwa sababu ya upweke. Rudini Bongo!
ReplyDeleteHappy birthday to u all, lakini mbona kimya kimya mzee??
ReplyDeleteMdau
jirani yako.
dah..bro maziku huyo jamaa mmetoka nae familia moja huku bongo..?naomba unijuze we ni maziku unatoka koo ipi..ya kina misamo wa nzega tabora au wapi...maana hata mimi ni maziku,ukizingatia mwenye jina hilo chimbuko ni hapo nzega mwangoye...mi nimwajiliwa JNIA..AIRPORT(DSM)....
ReplyDeleteduh hata watu wazima bado mnafanya birthdays !! mmh
ReplyDeleteBwana Simon Maziku huyu ananichanganya sana, nilisoma na jamaa akiitwa Simon Maziku Usagara Sekondari Tanga, lakini kwa sura sii huyu, naomba msaada kuna nasaba gani kati yao???
ReplyDeleteYale yale ya birthday za wazee, waachieni watoto wenu hayo mambo
ReplyDeleteHapo kuna problem sio siri! Birthday cake at 30?! Under 10 and over 70 labda!
ReplyDeleteHappy Birthday to the both of you. Mnaonekana mna-enjoy sana huko Amsterdam. Namuona hapo huyo jamaa tulikuwa nae Mzumbe University. Tuwasiliane hata kama siku hizi uko Amsterdam tujikumbushie Mzumbe.
ReplyDeleteMafanikio mema. Mungu awazidishie jamani. Nimefurahi sana.
Kweli ulaya ulaya wajamani jamaa wamekuwa very beautful na shavu dodo. Huyu jamaa anayeitwa Maziku nilisoma naye Seminari. Big up man and God bless you all!
ReplyDeleteAnkal kwani hicho chuo kikuu cha Wageningen kiko Holland au Denmark?
ReplyDeleteAu hawa wadau wametoka Denmark na kwenda nje ya jiji la Amsterdam kufanya birthday party?
Inakuwaje anafanya kazi na kuishi Amsterdam, The Netherlands na ni wa Denmark? Wewe uliyepost hii taarifa fafanua.
ReplyDeleteAHA WAMEZALIWA PAMOJA SIKU MOJA!!
ReplyDeletehahah hadi mmevaa sare hiyo kali ... ndugu au marafiki?
ReplyDeleteMimi pale jiografia nimeishi miaka mingi sana tu lakini mitaa ya denmark na netherland sidhani kama ipo nchini jiografia kabisa! ha ha ha ha ha!!!
ReplyDeleteHawa jamaa mapacha au?
ReplyDeletemmeoa??
ReplyDeletekimsingi mmetujazia tu page. mbona nyie wakubwa?aafu bado mnang'ang'ania kukata keki? au ndo kipini kwenye ulimi?
ReplyDeleteKweli, Anomyous aliyeuliza kupata ufafafanuzi kuhusu Bwa Simon Maziku aliyefanya birthday, pichani yuko sahihi. Mimi ninayepost hii hoja naitwa Simon Maziku, nilisoma Usagara Secondary School Tanga, CBE Dar, Reading University, UK 2007, sasa nafanya shadada ya Udaktari. Nimeshangaa Kuona jina linafanana kiasi hiki nitaomba mwenye Blog anisaidie ili nipate usahihi wa huyo 'Simon Maziku' (Pichani) pengine majina tu yanafanana, au kuna walakini
ReplyDelete