Wadau wa Denmark Simon Maziku (kulia) na Damian Sulumo wikiendi hii walitimiza umri wa miaka 30 (kwa mpigo) na wakaandaa mnuso katika chuko kikuu cha Wageningen University Sulumo nje kidogo mwa jiji la Amsterdam ambako mdau Damian anakula nondozzz ya masters hapo na Maziku anaishi na kubeba boxi jijini Amsterdam Simon na Damian wakikata keki yao


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2010

    Ama kweli maisha ya kubeba boksi ughaibuni yanachosha, yaani kakitu kadogo tu mnajikuta mnakakuza sana kwa sababu ya upweke. Rudini Bongo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2010

    Happy birthday to u all, lakini mbona kimya kimya mzee??

    Mdau
    jirani yako.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2010

    dah..bro maziku huyo jamaa mmetoka nae familia moja huku bongo..?naomba unijuze we ni maziku unatoka koo ipi..ya kina misamo wa nzega tabora au wapi...maana hata mimi ni maziku,ukizingatia mwenye jina hilo chimbuko ni hapo nzega mwangoye...mi nimwajiliwa JNIA..AIRPORT(DSM)....

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2010

    duh hata watu wazima bado mnafanya birthdays !! mmh

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2010

    Bwana Simon Maziku huyu ananichanganya sana, nilisoma na jamaa akiitwa Simon Maziku Usagara Sekondari Tanga, lakini kwa sura sii huyu, naomba msaada kuna nasaba gani kati yao???

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2010

    Yale yale ya birthday za wazee, waachieni watoto wenu hayo mambo

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 17, 2010

    Hapo kuna problem sio siri! Birthday cake at 30?! Under 10 and over 70 labda!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 17, 2010

    Happy Birthday to the both of you. Mnaonekana mna-enjoy sana huko Amsterdam. Namuona hapo huyo jamaa tulikuwa nae Mzumbe University. Tuwasiliane hata kama siku hizi uko Amsterdam tujikumbushie Mzumbe.

    Mafanikio mema. Mungu awazidishie jamani. Nimefurahi sana.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 17, 2010

    Kweli ulaya ulaya wajamani jamaa wamekuwa very beautful na shavu dodo. Huyu jamaa anayeitwa Maziku nilisoma naye Seminari. Big up man and God bless you all!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 17, 2010

    Ankal kwani hicho chuo kikuu cha Wageningen kiko Holland au Denmark?
    Au hawa wadau wametoka Denmark na kwenda nje ya jiji la Amsterdam kufanya birthday party?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 17, 2010

    Inakuwaje anafanya kazi na kuishi Amsterdam, The Netherlands na ni wa Denmark? Wewe uliyepost hii taarifa fafanua.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 17, 2010

    AHA WAMEZALIWA PAMOJA SIKU MOJA!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 17, 2010

    hahah hadi mmevaa sare hiyo kali ... ndugu au marafiki?

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 17, 2010

    Mimi pale jiografia nimeishi miaka mingi sana tu lakini mitaa ya denmark na netherland sidhani kama ipo nchini jiografia kabisa! ha ha ha ha ha!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 18, 2010

    Hawa jamaa mapacha au?

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 18, 2010

    mmeoa??

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 18, 2010

    kimsingi mmetujazia tu page. mbona nyie wakubwa?aafu bado mnang'ang'ania kukata keki? au ndo kipini kwenye ulimi?

    ReplyDelete
  18. Kweli, Anomyous aliyeuliza kupata ufafafanuzi kuhusu Bwa Simon Maziku aliyefanya birthday, pichani yuko sahihi. Mimi ninayepost hii hoja naitwa Simon Maziku, nilisoma Usagara Secondary School Tanga, CBE Dar, Reading University, UK 2007, sasa nafanya shadada ya Udaktari. Nimeshangaa Kuona jina linafanana kiasi hiki nitaomba mwenye Blog anisaidie ili nipate usahihi wa huyo 'Simon Maziku' (Pichani) pengine majina tu yanafanana, au kuna walakini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...