Picha na mdau Anna Itenda -Maelezo.
Home
Unlabelled
kijana aamua kumvaa dk. abdallah kigoda kugombea ubunge jimbo la handeni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wote CCM , hakuna jipya.
ReplyDelete(US Blogger)
safi sana!!
ReplyDeleteUbunge handeni ugombewe dar!!!!
Mdau hapo juu kula five.
ReplyDeleteKila kitu kinafanyiwa Dar ndio maana sehemu zingine haziendelei na hakuna mashindano ya habari au hata radio..
ReplyDeleteWatu waanzishe magazeti ya mikoani hata radio za fm za mikoani..
Hapa college yangu tuna radio station na gazeti letu...Chuo kina wanafunzi 21,000
Kumtoa kigoda pale Handeni ni kazi kweli maana al -maaruf na shulfu pia anazo na sie wazigua sijui kama tunaweza kumwendea kinyume , ngoma iko nzito sana na huyu ni kigogo wa kamati kuu (CC) mndolwa anahitaji kujiunga na chama kingine na sio CCM maana hapiti lakini sio mbaya kujaribu
ReplyDeleteKijana ujiangalie sana. Huyo incumbent ni Gogo haswa halafu masuala ya utamaduni ni mkali sana. Kumshinda huyo lazima uwe na nguvu ya ziada ambayo ni ya Yesu Kristo. Unauona ujasiri wa jirani yake pale Kilindi mama Beatrice Shelukindo? Yule yuko fit kwa sababu anaye Yesu. Si unajua mdogo wake mheshimiwa naye ananyemelea pale?
ReplyDeleteKumbe anaGOMBEA KWA TIKETI YA CCM??? huu ni usanii kwani hata Kigoda ni CCM na handeni imelala doro kipindi chote cha utawala wake,sasa huyo Mndolwa atafanya nini tofauti,Kwa Handeni nafikiri tunahitaji mgombea wa chama tofauti na CCM kwani CCM wayeyushaji hebu fikiria kwenda Handeni kwa kupitia mkata mpaka leo mvua ikinyesha mwalala njiani hata cku 2 tangu enzi na enzi huu ni ufisadi wa waziwazi tena inakera sana.
ReplyDeleteMajoy
Mzigua wa Handeni.
mimi namuunga mkono sana kijana mwenzangu maana kigoda hana kipya.alipewa madaraka mengi makubwa zaidi ya huo ubunge lakini ukienda handeni,hakuna kipya.barabara mbovu,maji hakuna maisha mabaya ya wananchi.mimi nipo nje ya nchi ila kama ningekuwepo msimu huu,ningesimama nae.Nitamuunga mkono kijana mwenzangu kwa kumuwezesha tuondokane na hao wazee walioishiwa.
ReplyDeleteKWA NINI ASIENDE HUKO HANDENI AKATANGAZE NIA YAKE HIYO? SASA ANAENDA MAELEZO HAPA NI HANDENI?
ReplyDeleteKwanza nampongeza kijana mwenzangu, hawa wazee wa CCM waliharibu nchi yetu
ReplyDeletesonga mbele songa mbele
regards
mdau ufini