Kaka nimepiga picha hii barabara ya kuja sayansi kutokea kwa mwalimu nyerere, pale opposite na TPDC kuna kona fulani kwenda kulia. Embu cheki hii alama ya barabari na kona yenyewe...!

na
Mdau
Birungi Joseph Kironde

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2010

    IGA ALAMA UFE!!! HAHAHAHA UKIIGA TU UNAKUTANA NA MATIPA HAYANA BREAK PAAAAAA! SEIF.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2010

    Kona kushoto, alama inasema kona kulia. Bongo, si mchezo. Haya ndo matatizo ya kuajili watoto wa ndugu zetu wasio hata na taaluma ya kile wanachopaswa kukifanya.

    Ujue hapo bosi wake kapita na kaona sawa tu na hata ukimpelekea hii picha bado atakupa sababu kwa nini iwe hivyo ingawa sivyo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2010

    Hii sasa kali!!! Duh ina maana aliyeweka hii alama alikuwa amelewa nini? Halafu miaka yote hii ndio sasa angalau kuna mtu amegundua? Ina maana hata madereva wengi huwa hawana muda wa kusoma halama za barabarani. Ila siwalaumu sna madereva nawalaumu Tanroads na Polisi kwani wao pia hawahakikishi halama zote zinazohitajika zipo barabarani kiasi kwamba madereva nao wanaona hakuna umuhimu wa kuzitafuta au kufuatilia. Hii ni hatari. Inaonyesha pia jinsi gani tusivyojali uhai wa raia

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2010

    SASA WE UNAELEZA NINI?ALAMA IMEFANYA NINI?KWA UFUPI HIO ALAMA INAONYESHA KONA/BEND NA INA SIZE SAHIHI.KITU KIMOJA NITAKUKUBALIA UKISEMA MITI IMEKUWA SANA MPAKA INAFANYA ALAMA IWE NDOGO/ISIONEKANE VIZURI,KAMA WEWE NI DEREVA MAKINI HIO ALAMA UTAIONA TU.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2010

    Kweli hilo ni libeneke maana hata mtumaji wa habari/picha haeleweki sembuse alama yenyewe?Au msukuma wewe(mtani wangu)maana hawajui kulia wala kushoto maana wanaweza kula na mikono yote!!Kutokana na usemi wako kama ni kwenda kulia hakuna tatizo lakini kutokana na picha ilivyo na uelewa wa sehemu unayoisema, kona ni kwenda kushoto na alama haiko sawa!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 08, 2010

    kaka samahani natoka nje ya mada. nauliza hivi mbona hujatuhabarisha kuhusu msiba wa mc maarufu wa kitchen party dada chichi?acha ubaguzi wa habari au matangazo hulipiwa?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 08, 2010

    Ni kichekesho tuu.
    pia mbona mchanga unazidi kujaa barabarani, au tusubiri mapaka maraHisi wa nji za nje waje kutumia sehemu hio ya barabara?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 09, 2010

    Bro, mimi ni katika wale watu wa mwisho mwisho TZ kupata driving licence yangu wakati bado vile vitabu vya (commonwealth) "Highway Code" vilikuwa vinapatikana Dar. Alama hiyo simply inamaanisha "sharp bend(s) ahead", yaani jihadhari barabara inapinda mbele, na si picha au taswira ya upindo huo. Endesha kwa usalama. Kawia ufike.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 09, 2010

    Na wewe hapo juu kwa kubold kote bado hujui kupronouce the word alama...sio halama...toa boriti kwanza....

    Kama na wewe ukiajiriwa kwenye kazi ya kuandika si utatupoteza hivi hivi

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 09, 2010

    Hilo gari la Silver hapo juu, mbona kidogo lifanane na ile Ploton ama Pluton, sikumbuki vizuri. Gesi ilikwisha patikana? Naona linatembea barabarani.

    Na hilo lijumba hapo kwenye picha ya pili, si haba.

    Mdau wa alama za barabarani, Oyeeee!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 09, 2010

    hiyo sign kwa UK ina maanisha Double Bend, first to the right..sasa mleta habari/picha hakuonyesha kama kweli kuna double bend au la. kama hakuna then hiyo sign inabidi itolewe ili iwekwe inayo onyesha Single Bend to the Right..

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 10, 2010

    Hivi hiyo miti hapo sio hatari kwenu mtembeleao matako? Sisi kina Lunyas hatuna amani nayo, ila tunadhani ni hatari zaidi kwenu mabosi. Au poa tu?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 10, 2010

    Nadhani madereva wakiona alama hiyo wataangalia barabara na kupunguza mbio. Labda hawakuwa na alama sahihi, lakini lengo lilitekelezwa si ndiyo?

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 10, 2010

    hahahaaa

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 07, 2011

    hilo ni tatizo kubwa la ndugulation, limtu hajijaqualify kupewa kufanya kazi hiyo, na linapewa kazi, inaboa sanaaaaaaa, wasomi kibao tunasota kitaani. watanzania tusiendekeze urasimu tunajimaliza wenyewe, tujali uhai wetu, wazungu wasema golden chance never come twice. asante by mdau.

    ReplyDelete
  16. ALAMA HIYO HAINA SHIDA WALA BARABARA , INA MAANISHA MBELE KUNA KONA MBILI YA KWANZA KULIA NA NDIVYO ILIVYO....MSIBWABWAJE NINYI WA TZ VIP? DO A RESEARCH KWANZA,,,,,AIBU HII

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...