Home
Unlabelled
Matukio wakati wa hukumu ya Liyumba leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Badala ya huyu mzee kufanyiziwa segerea, ingekuwa viZuli. Zaidi johni mashaka kutumikua kifungo chake ili hakome kuzua mabishano kwenye kijiwe chetu cha buludani
ReplyDeleteJIzi likubwa hilo linastahili kifo........upuuzi sana huu...linyongwe
ReplyDeleteIkiwa mteule yohanna mashaka ni msamaria mwema na mlenda nchi yake, basi angejitolea mhamga kwa ajili ya huyu mzee aliechoka. Watamuua huko jela. Pole sana mzee liyumba, mashaka tunataka tamko lako rasmi kuhusu hili ombi la kwenda jela kwa niaba ya lyiumba weee ni naniprofiti kwa hiyo ni vyema ujitolee. ghandhi na yesu walijitolea ma ww pia jitolee kwa ajili ya Tanzania na mzee liyumba
ReplyDeleteSo sad indeed. Kuna mtu aliwahi sema kuwa "the only difference between those in jail and the rest of us is that THEY JUST GOT CAUGHT!".
ReplyDeleteJela Jela ni Mbaya. Hakuzoeleki. Ila ndio hivyo. Hopefully yote yataenda sawa huko jela, ama kama kuna mambo ya rufaa na nini.
Binafsi ni kwamba huwa nahurumia wafungwa wote, mahabusu inclusive. Na sio kwamba nilikuwa nafahamiana na Bwana Liyumba.
Ila, jamaa kapatikana na hatia ya miaka mi-2 jela, na tayari alikwisha kaa mahabusu mwaka m-1, hii imekaaje hapo? Sasa si ni atakuwa jumla ni kama amekaa miaka mi-3 jela?
Ya kaisari mwachie kaisari.
SAFI SANA SHERIA ZA TANZANIA: MWIZI WA MAMILIONI KUFUNGWA MIAKA 2 NA MWIZI WA SIMU ZA MKONONI KUFUNGWA MIAKA KUMI.LIYUMBA MALIZA KIFUNGO ULE MABILIONI YAKO. KUMBE KUIBA TANZANIA NI KUTAMU!!! BAADA YA MIAKA MIWILI TU YA JELA... UTATOKA NA KULA KA RAHA MUSTAREHE!!! HALAFU SERIKALI AINZIDI KUDAI TUWONEE HURUMA VIBA!!! MOTO TU! KUWAPELEKA MAHAKAMANI ... NI KUWAPA OFA TU YA ULAJI
ReplyDelete2 years jela wanacheza sana!! two years is noughing .ni kama kesho tu anatoka na kula bata na pesa za wananchi
ReplyDeleteHII NI TANZANIA, HUYU MHESHIMIWA ATAKAA JELA MWAKA MMOJA. NA KWAKUWA PESA ANAYO, MAISHA YAKE YATAKUWA MARIDADI, ATAKULA VIZURI, ATAANGALIA TV, ATATEMEBELEWA NA FAMILIA YAKE, ATAKUWA NI NYAPARA MKUU, VIONGOZI NA MARAFIKI WATAMTEMBELEA. MWAKA MMOJA ATAVUMILIA, KISHA ATATOKA NA KUENDELEA KUFAIDI ALICHOJICHOTEA. (HII NI MONEY LAUNDERING YA AINA YAKE) AKITOKA JELA HAMUWEZI KUMGUSA KUHUSU UTAJIRI WAKE KWA SABABU ATAKUWA AMESHATUMIKIA HUKUMU YAKE. SINA UHAKIKA KAMA KATIKA HUKUMU KUNA HUKUMU YA KUFILISI UTAJIRI WAKE, KAMA HAKUNA, BASI HIYO IMETOKA NA MCHEZO UTAENDELEA KAMA KAWAIDA. ANABAHATI ALIZALIWA TANZANIA, NA KUHUKUMIWA KIPINDI CHA TANZANIA YA SASA, INGEKUWA ENZI YA SOKOINE, AU ANGEKUWA UCHINA ANGENYONGWA NA KUFILISIWA ILI LIWE NI FUNDISHO KWA WENGINE.HII IN HUKUMU YA KWANZA, ZINGINE ZA KISANII ZINAFUATA.
ReplyDeleteNAWAKILISHA HOJA NA MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Just curious je muda aliyo tumia rumade utahesabiwa as part of kifungo????
ReplyDeleteSo sad... lakini ndo hivyo hukumu ya ni hukumu.. tujichunge huku makazini hatujui leo au kesho
ReplyDeleteTatizo letu watanzania huwa hatuko
ReplyDeleteserious na maisha yetu,siyo wote ila baadhi yetu,mambo machafu na ya kifisadi aliyofanya huyu baradhuli Liyumba watu badala ya kujadili mambo ya maana wanaanza mambo ya mashaka,huu si upuuzi??kila litu mashaka !!hamuoni aibu pia hamna uchungu na nchi yenu !!ndiyo maana mafisadi hawatisha milele Tz.Atakuja mwingine benki kuu story itakuwa hiyo hiyo maana adhabu siyo kali.Huyu Libpumba ilifaa afungwe maisha au kunyongwa kabisa,kumbukeni rais aliyepita wa
Korea kusini alivyojiua kwa kujirusha mlimani kutokana na kashfa ya rushwa,sasa sisi tunaona kwaida tu na kuanza upuuzi wa mashaka masdhaka,tutaendelea kuwa
masikini milele.
BONGO NYOSO !!!!
mdau South Korea.
kwa mtindo huu na mimi nitafanya kama kaka liyumba, hili ni onyo kwa walalamishi wa ufisadi mkichonga sana mtu anafungwa mwaka anarudi kuja kula matunda yake bila starehe
ReplyDeleteWOTE WANAOMTETEA HUYU FISADI WOTE MPANGO MZIMA, ETI MIAKA MIWILI 2 UBABAISHAJI MPAKA KWENYE MAHAKAMA WAKATI TULITEGEMEA HAKI ITENDEKE HUKO TANZANIA BWANA KAMA TULIRAHANIWA
ReplyDeletekesi ya kima akipewa nyani, matokeo yake ndo haya.Wewe iba kuku wa jirani tu uone,
ReplyDeleteKisheria kama amehukumiwa miaka 2 na amekaa rumande kwa zaidi ya mwaka 1 yote itajumuishwa na kuhesabiwa kama ameshatumikia jail time kwahiyo atajikuta anakaa jela kwa kama miezi 8 na ujue kwamba hiyo miezi nane inahesabiwa usiku na mchana kwa hiyo atatumikia kama miezi sita tu jela au pungufu labda sheria ya Tanzania iwe tofauti. Ila ndo hivyo bora hukumu imepita kwani baada ya hapo ataendelea na maisha kama kawaida na kulipwa marupurupu yake yote kwa miaka aliyotumikia BOT hajapoteza kitu. Ila iwe fundisho kwa mafisadi wengine kwamba sasa hivi serikali ina macho nyuma na mbele ni wakati wa kuwatumikia wananchi sio kula binafsi.
ReplyDeletePole zake ila kazi kamaliza sioni hata ulazima wa kukata rufaa hapo ni bora atumikie kifungo na amalizane nao. Tusubirie Minja na Mramba tuone na hao hukumu yao itakuwa vipi!
Anon May 24, 04:29
ReplyDeleteUyasemayo ni kweli tupu ..
Asante sana kwa kujibu swali lanngu ano wa 24 May 05:54pm
ReplyDeleteGeresha geresha tu, msamaha wa Rais unakuja muda si mrefu kwa excuse ya matatizo ya kiafya na utu uzima. Mtamuona tena anakatiza katiza kwenye vijimitaa kucheki cheki na kuopoa muda si mrefu ujao.
ReplyDeleteHUYU JAMAA MIEZI SITA JELA HATAKAA KUNA MSAMAHA WA RAISI UNAKUJA ATAJUMUISHWA HUKO ATATOKA BONGO TAMBARARE
ReplyDeleteyuko wapi yule mkuu wa bot na aliyejengewa nyumba ya kifahari kwa nini asiende jela na yeye, yeye ndo aliyeitia hasara taifa kuliko jamaa huyu, huyu ni mwizi mdogo sana tu.
ReplyDeletebongo bwana, wezi wakubwa wanaofilisi hazina nzima ya nchi hawatiwi jela wezi wadogo wadogo ndo wanakamatwa.
upuuzi mtupu huuu.
ndo maana tuko malofa daima na kungoja wazungu waje watukomboe na wao wanakuja na kutula.
heheheheh ndengereko iba zaramo ficha..ndio mahakama yetu ya tanzania...wizi wa mabilioni kifungo miaka miwili..kibaka anayepokonya simu mifungo cha maisha...kweli tanzania hakuna haki..natamani nije nikaibe bongo...
ReplyDeletejamani niambieni mahali naweza kuiba kama bilioni moja hivi nipo tayari kufungwa miaka mitatu na kidogo
ReplyDeleteMaskini kasusura aliteswa sana kwa vijisenti vichache
ReplyDeleteAnon May 24, 07:36 (May 24, 05:54)
ReplyDeleteBelated thanks for your clarification on my query. Will be on the sidelines just now, to have a share of a good laugh..
''2 years jela wanacheza sana!! two years is noughing''
ReplyDeleteJamani, lugha za watu hizi. Noughing ndiyo nini? Kwani lazima kuandika lugha hiyo? Aakhaaaa!
Ni kinyaaaaaa kwa serikali ya Tanzania kukosa sheria. Kesho naenda kunya mavi kwenye lango la Ikulu ili nione nitafungwa kwa miaka mingapi.
ReplyDeleteMdau Kinyerezi-Ukonga
Wale waote mlioiba hela Tanzania mkakimbilia nchi za nje rudini nyumbani. Tanzania hakuna sheria.
ReplyDeleteMdau USA