Waziri wa Fedha Mustafa Mkullo akifurahia na Mtendaji Mkuu wa NMB Ben Christiaanse mara baada ya kuzindua tawi la NMB Kilombero wilayani Kilosa. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya NMB Misheck Ngatunga. Tawi jingine lililofunguliwa ni NMB Mount Uluguru Morogoro mjini wikiendi hii Waziri wa Fedha Mustafa Mkullo akipokea hundi ya milioni 3 kama msaada wa NBM kwa hospitali ya Kidodi, Kilombero. Waziri wa Fedha Mustafa Mkullo akiongea na Viongozi wa NMB na wageni wengine katika uzinduzi wa tawi hilo.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2010

    Mustafa mkullo maisha kayapatia toka NSSF mpaka waziri wa fedha.
    mdau Ukerewe!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2010

    I just hope wapiga kura wa Kilosa wataelewa faida ya kuletewa benki ya NMB ili wampigie kura mbunge wao Mhe. Mkulo

    ReplyDelete
  3. said mdauMay 17, 2010

    nimefurahi sana nmb kufungua matawi na hasa kwa kilombero kwani tulikuwa tunapata shida sana sisi wakazi wa huku kilombero. tawi la zamani lilikuwa dogo sana na msongamano ulikuwa ni mkubwa sana lakini sasa tunashukuru kwamba nmb imeona kero hiyo na kufungua tawi ambalo lina nafasi kubwa zaidi na kizuri zaidi ni tawi la kisasa. asanteni sana uongozi wa nmb kwa kutatua kero hii.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2010

    nmb wameanza kuongeza matawi morogoro? kweli hii ni habari njema manake ilikuwa ni hatari foleni mwanzo mwisho...nawapongeza kwa hilo

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2010

    Mchangiaji wa kwanza jaribu kuuliza kabla hujatuma mchango/maoni yako,Mkulo ni mbunge wa Kilosa na si Kilombero.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2010

    Natamani Tanzania ingekua chini ya ufalme kama UK au SAUDIA maana hizi siasa za bongo ni njaa tupu,Rais kutwa kuchwa anaomba,warizi anaomba,spika...etc..etc ..every body down here is motherf..ker begger...what a contry!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...