Waziri wa Fedha Mustafa Mkullo akifurahia na Mtendaji Mkuu wa NMB Ben Christiaanse mara baada ya kuzindua tawi la NMB Kilombero wilayani Kilosa. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya NMB Misheck Ngatunga. Tawi jingine lililofunguliwa ni NMB Mount Uluguru Morogoro mjini wikiendi hii
Waziri wa Fedha Mustafa Mkullo akipokea hundi ya milioni 3 kama msaada wa NBM kwa hospitali ya Kidodi, Kilombero.
Waziri wa Fedha Mustafa Mkullo akiongea na Viongozi wa NMB na wageni wengine katika uzinduzi wa tawi hilo.

Mustafa mkullo maisha kayapatia toka NSSF mpaka waziri wa fedha.
ReplyDeletemdau Ukerewe!!!
I just hope wapiga kura wa Kilosa wataelewa faida ya kuletewa benki ya NMB ili wampigie kura mbunge wao Mhe. Mkulo
ReplyDeletenimefurahi sana nmb kufungua matawi na hasa kwa kilombero kwani tulikuwa tunapata shida sana sisi wakazi wa huku kilombero. tawi la zamani lilikuwa dogo sana na msongamano ulikuwa ni mkubwa sana lakini sasa tunashukuru kwamba nmb imeona kero hiyo na kufungua tawi ambalo lina nafasi kubwa zaidi na kizuri zaidi ni tawi la kisasa. asanteni sana uongozi wa nmb kwa kutatua kero hii.
ReplyDeletenmb wameanza kuongeza matawi morogoro? kweli hii ni habari njema manake ilikuwa ni hatari foleni mwanzo mwisho...nawapongeza kwa hilo
ReplyDeleteMchangiaji wa kwanza jaribu kuuliza kabla hujatuma mchango/maoni yako,Mkulo ni mbunge wa Kilosa na si Kilombero.
ReplyDeleteNatamani Tanzania ingekua chini ya ufalme kama UK au SAUDIA maana hizi siasa za bongo ni njaa tupu,Rais kutwa kuchwa anaomba,warizi anaomba,spika...etc..etc ..every body down here is motherf..ker begger...what a contry!!!
ReplyDelete