Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kima cha chini cha mshahara wa Mtanzania ni gharama za mwezi kulipia chanell zote za Multichoice. Jamaa wapo very,very expensive sijaona Afrika nzima gharama za juu namna hii na serikali ya CCM kama kawaida KIMYAAAAAAAAA!
ReplyDeleteBENNY KISAKA TOKA LINI AKAWA MDAU WA SOKA? HUYU NI MSIMAMIZI WA MAMISS KITONGOJI CHA TEMEKE.MICHUZI PLS GIVE ME A BREAK.KILA FANI INA WENYEWE.UNGESEMA MDAU WA MAMISS SAWA LAKINI SIO MDAU WA SOKA.
ReplyDeleteDah namuona hapo mdau wakisiju katulia akilipika jungu!! poa mshikaji usimaind.
ReplyDeletemdau
Amigo!
Multichoice ni matapeli wanatuibia kweupee. TV inazidi mshahara wa kima cha chini! Sijaona duniani.. Afterall ni satellite TV uuze usiuze signal ni ileile, kwa nini wasipunguze bei wawe na wateja wengi, wapate zaidi kuliko kufanya ionekane TV ya wenye uwezo sana wakati kinachouza hapo ni mpira tuu.
ReplyDelete