Salam Ankal,
Kwa mara nyingine tunapenda kuwaletea wadau wote wa libeneke yaliojiri hapa ukerewe katika kitongoji jana usiku cha Mji Tottenham kususiana na ushindi wa Ghana.
Washibiki wote wa mpira walikusanyika pamoja na kusherekea ushindi wa Ghana kwa staili ya kipekee.
Haya ndio mambo ya Waghana na wadau wa mataifa mengine wakisheherekea na kurusha nyuki kushangilia ushindi wa timu yas taifa ya Ghana THE BLACKSTARS dhidi ya timu ya Marekani kwa Obama.
Bofya link chini kuangalia video.
Habari ndio hiyo
Mungu Ibariki Africa,
Urban Pulse Production
Home
Unlabelled
Ghana Oye!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
imetulia, Africa tuko juu!!!!!
ReplyDeletewewe Frank wacha sifa za kuuza sura.
ReplyDeleteHuyo anayesama FRANK aache kuuza sura kama sio mnafiki aseme jina lake. Hayo mambo ya ananymuos OLD FASHIONED. Halafu that clip was not about FRANK. We can clearly see that he has been OVERSHADOWED by the GHANA fans. Unless ME n U r watchin'a DIFFERENT clip. FORTUNATELT 4 U that we are livin' in a FREE WORLD, u have the right 2 BITCH about it. Godz Favourite.
ReplyDeletena wewe mdau wa 06:07 mbona hujaweka jina lako hapa maana unapolalamika mambo anonymous ni OLD FASHIONED.acha mambo yako haya wewe kila mtu ana uhuru wa kuweka jina lake ama asiweke.
ReplyDeleteMdau-Mji wa kusoma!
Jamani acheni chuki binafsi. Huyo Frank na Baraka wamefanya kazi nuri na kubwa sana ya kutupa burudani na yaliyojili huku UK, bila wao wengine hapa tusingejua wala kuona nini kimetokea huko. Saaaafi sanaaaaaa, hongereni.
ReplyDeleteMdau,
New York, USA
roho mbaya ni jadi yetu.
ReplyDeletekama hutaki clipu acha si kuleta komenti hasi.