wa send off yake ilofanyika usiku wa kuamkia leo
ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Send off party ilikuwa nzuri sana bi harusi alipendeza sana na picha michuzi umezipiga vinzuri kweli wewe ni mpiga picha mkongwe expirience matters bwana hongerani sana
ReplyDeletehuyo marylin mashiba ndio nani?
ReplyDeleteminimal make-up fantastic
ReplyDeletewho is this marlyin? it seems ni mtu mwenye madaraka au ni mtoto wa mkubwa.
ReplyDeletetupeni nn zake bac tumjue huyo marlyn.
ReplyDeleteBibi harusi na mpambe wako siwajui lakini mlikuwa simple nimependa sana mlipendeza kwa kweli
ReplyDeleteMarylin Mashiba ni Ndugu wa Rais au ni mtoto wa pinda? Au atamimi nikiwa na send off ninaweza mkaribisha mweshimiwa rais akaja?
ReplyDeleteAsante mkinijibu nitafurahi
Huyo dada anaolewa na mtoto wa JK ama mtoto wa Pinda? mmmh maana sijaona picha ya babake akimlisha keki bali JK na Mama Pinda ndio maana nauliza? Au ndio tunaoneshwa kuwa watu wako karibu, basi apewe kabisa viti maalumu kama zawadi ya send off tujue moja.
ReplyDeletemh!one photo with thousand meanings!halo haalo haalooo!
ReplyDeleteWadau naomba msaada? huyu mashiba ni nani? ndugu ya pinda au JK, au kigogo serikalini?? Msaada tu, kuuliza sio ujinga, ujinga ni kujifanya unajua hata kama hujui,
ReplyDeletemdau ughaibuni
Kaka Michu, hata mimi nina harusi mwezi ujao na ningependa JK ahudhurie je waweza nisaidia kumfikishia kadi ya mwaliko?
ReplyDeleteHuyo marylin mashiba ndio nani hapa mjini?
ReplyDeleteBi harusi kapendeza kweli na anaonekana kitu mwake bila wasiwasi.
Hongera sana kuhudhuriwa shughuli yako na mweshimiwa si jambo dogo mama.
Marlin Ben Mashiba ni binti wa bwana na bibi ben mashiba. Bwana Ben mashiba ni KACHERO wa muda mrefu na mwenye uzowefu mkubwa katika tasnia ya ukachero. pia kwa sasa ndiye mkuu wa walinzi wa JK.
ReplyDeleteHongereni sana bwana na bibi mashiba kwa kukuza. Ni fahari kuona marlin anaolewa kwa heshima
Duh hi kali kuliko...Send Off tu Mnamwalika Mfalme...jee Harusi yenyewe...Hata hivyo imependeza ila mimi haijanifurahisha kumuita JK kwenye kamnuso kadogo na kutuonyesha kana kwamba unajipigia debe la Ubunge wa kuteuliwa. Mheshimiwa angalizao: usije ukamteua tena huyu kwenye viti vyako kumi kwani tutarejea hizi picha na kumwambia Dakta Edward kuwa Dada Marylin alijipigia debe ateuliwe ubunge wa viti maalum.
ReplyDeleteeti kweli huyo marylin mashiba ni nani? tuambieni,maana
ReplyDeletempaka JK yumo!
Ankali toa utambulisho basi... sisi hatumjuhi huyu dada..mpaka JK amafika inaoneka ni mtu mkubwa au familia yake
ReplyDeleteNitashukuru kama utaweza kuweka utambulisho
oh my Gawd..Thansk ankal michuzi for these pictures. I went to school with marylin in mombasa Bush tuition school and i havent seen her since then must be around 80s.......Kila la kweri babes
ReplyDeleteMtueleweshe...huyo Marilyn ndio nani hapa Tanzania?
ReplyDeleteWho is it!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! nobody knows her at least tell us who she is
ReplyDeletehuyu ni nani kwani? tuwekeeni habari zinazoeleweka sio za kuacha maswali kwetu wasomaji.
ReplyDeleteningependa kujuzwa huyo Marylin ni nani?
ReplyDeleteinaonekana ni celebrity, wenye majibu, tafadhali tusaidieni.
Hongera Mzee Mashiba. Marylin, all the best and Mr wako.
ReplyDeleteKazi ipo....
ReplyDeletebi harusi mzuri na iyo mimba yake acha kabisa!!
ReplyDeletebaba yake anaonekana mtulivu sana
nami naomba kujua ninani wadau
ReplyDeletewho is marylin mashiba???
ReplyDeleteWacha wapi wewe!!mbona sijaona? lakini ndio ukubwa,Nakupa ongera kidogo tu.
ReplyDeleteJamani hizo keki mnazolishana wenzenu wazungu mnaowaiga huwa wanalishana maharusi tu sasa nyinyi utamaduni huu mmeupata wapi?
ReplyDeleteanko hata mie nataka kujua huyu marlyn ni nani
ReplyDeleteJamani naombeni maelezo huyo bibi harusi mtarajiwa ni nani maana hadi JK kasakata rumba sijaamini macho yangu.Nipe data jamani nimjue huyo mlimbwende haki kakusanya Kigogo wa nchi hapo?Michuzi please!!
ReplyDeletesasa ni baba yake ni kiongozi bibi au bwana sababu sijawahi kuwasikia,ni watoto wa pinda au sababu naona mama pinda akimlisha keki bibi harusi
ReplyDeleteJK safi sana mzee wa pwani:
ReplyDeletemichuz ebu tuambie Meryline ni mtoto wa kigogo gani???? au Robert ni nani?/ unatuweka pending kwa sissi tusiejua more expln plzzzzzzz
ReplyDeleteHuyo Marlyn Monroe ndio nani? unajua kupiga picha lakini uandishi wa habari huujui kabisa....
ReplyDeleteAt least ungesema so and so ...ni fulan...au ni mtoto wa fulan ...
ReplyDeletekama umesziweka humu na tunaona viongozi wote wa nchi wako humo basi kuna huyo mtu ana umuhimu fulani si vibaya ungetueleza..
Kweli huyo Marlyin ni nani maana tunashangaa tu kusikia ooh kapendeza , kalishwa keki!
ReplyDeleteHuyo ni mtoto wa mkuu wa walinzi wa JK anaitwa Ben Mashiba mwenyeji wa mwanza. mnashangaa nini na mswali meeengiiiii
ReplyDeleteHongera sana Marilyn na Robert
ReplyDeleteMarylin Mashiba si mtoto wa kigogo yeyote bali ni mtoto wa mfanyakazi wa Ikulu. Kwahiyo hapo JK, Mama JK, Mama Pinda na wafanyakazi wengine wa Ikulu walikwenda kumpongeza mwenzao.
ReplyDeleteHata hivyo ninavyomfahamu mimi JK amekuwa akihudhuria shughuli nyingi tu kama hizo wakati kabla hajakuwa Rais, kwa hiyo sishangai wakati kama huu akipata nafasi kuhudhuria harusi ya mtoto wa mfanyakazi mwenzao.
baba yake anaonekana mtulivu sana....hahahah
ReplyDeleteLorna nakuona kwa mbali u look mwaah as usual
ReplyDeleteJK Tengeneza PR zaidi kwa kuwapa msosi Yatima na vilema kama Mengi anavyofanya, maana ndo tunalolisubiri
ReplyDeleteTHANK YOU
KWA ASILIMIA 99% LEO NIMEAMINI WATANZANIA NI WAMBEA WANAPENDA SANA KUJUA PERSONAL STORIES ZA WATU KULIKO JAMBO LINGINE LOLOTE LILE, YAANI JK, MKEWE NA MAMA PINDI KUHUDHURIA HARUSI IMEKUWA WIMBO WA TAIFA IMEWAKUNA HADI MNATAKA KUJUA BINTI NI NANI JAMANI JIFUNZENI MAMBO YA DIPLOMACY SIO KILA KITU KINASEMWA
ReplyDeleteHII NDIO KIKWETE ROYAL FAMILY.....MMMHHH SISEMI MENGI...
ReplyDeleteKAKA MICHUZI,SASA JOURNALISM INAHITAJI FOCUS KATIKA KUFAFANUA NEWS.MARA NYINGI UNATOA PICHA BILA KUFAFANUA KWA NDANI NANI NI NANI.UNAJUA KUWA BLOGU YAKO INASOMWA DUNIA NZIMA HIVYO NI VIZURI KUTOA BACKGROUND YA NEWS.WOTE HATUMJUI HUYU DADA NA PIA UHUSIANO WAKE NA JK.PLEASE LET US KNOW.
ReplyDeleteEBU WATANZANIA ACHENI UMBEA! WHO IS MARILYN ? WHY DO YOU CARE SO MUCH WHO MARILYN IS? SO UKISHAJUA ITAKUSAIDIE VIPI KWENYE MAISHA NA STRUGGLES ZAKO?
ReplyDeleteHEBU MIND YOUR OWN DAMN BUSINESS!
Ok huyu Merlin ni mtoto wa Mashiba , ambaye ni mkuu wa masauala ya ulinzi wa Raisi.
ReplyDeleteHakuna kingine kuhusu huyo binti sana sana fammilia hiyo iliingia kwnye headline pale kaka wa huyu Meryyline alipo husishwa na ugomvi na msanii wa Bongo flava T.I.D na kusababisha TID kufungwa jela baadaya ku shambuliwa na kuumizwa na msanii huyo wakiwa Slipway (sijui ni hotel or resort ) mtajiju!
Rais kuudhuria harusi ni kitu cha kawaida, kwani nae ana watu wa karibu anaowafahamu, marafiki n.k...anyways..mnaotaka kujua huyo binti ni nani.... ni mtoto wa mmoja kati ya walinzi wakuu wa j.k!!
ReplyDeleteMdau,
USA
Nadhani si ubinadamu hata kama mtu akiwa jabazi anapokufa basi asibebwe kama mzoga au mnyama ni jambo labusara achukuliwe vizuri na kuwekwa kweny hilo gari la polisi kama biadamu aaliye kosa.
ReplyDeletemmh!!!!!!!! bibi harusi and Robert look good!!!!!i know Marilyn's hair style looks fabulous!!!!!!!!! Oh!Tanzanian people i think we should realise and understand that Tanzanian learders are also human being who would like to socialise and have fun not only with their families but also with their friends and work colleagues like ordinary people!!!!! I am sure that the Learders were showing their great support and appreciation to the Mr and Mrs Mashiba's family. if you think is wrong or is not fair for them to participate in this ceremon then all i can suggest study hard and work hard as Mr.Mashiba did so that you can get opportunity to socialise with the Tanzanian President and other learders.Alright!!!!!!!!!!
ReplyDelete