Marilyn Mashiba akiwa na mpambe wake kwenye mnuso
wa send off yake ilofanyika usiku wa kuamkia leo
ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar.
JK akimlisha keki Marilyn Mashiba kwenye mnuso wa send off hiyo.
Marilyn akilishwa keki na mama yake

Marilyn akilishwa keki na mpambe wake

Marilyn akipiga chiazzz kwenye meza ya wakweze

Mama Tunu Pinda akimlisha keki Marilyn


Marilyn akiwa na JK, Mama Salma Kikwete,

Mama Tunu Pinda, Mama Othman na nduguze

Marilyn akiwa na Robert Bw. harusi mtarajiwa

Marilyn akiwapa wazazi zawadi
ni wakati wa libeneke
JK akiwa na wakongwe wa Tanzanite Band ambao ndio walitumbuiza.

Mama wa Mitindo Asia Idarous akiwa na
mai hazbendi wake Ankal Khamsin













Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 50 mpaka sasa

  1. Send off party ilikuwa nzuri sana bi harusi alipendeza sana na picha michuzi umezipiga vinzuri kweli wewe ni mpiga picha mkongwe expirience matters bwana hongerani sana

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2010

    huyo marylin mashiba ndio nani?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2010

    minimal make-up fantastic

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2010

    who is this marlyin? it seems ni mtu mwenye madaraka au ni mtoto wa mkubwa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 25, 2010

    tupeni nn zake bac tumjue huyo marlyn.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2010

    Bibi harusi na mpambe wako siwajui lakini mlikuwa simple nimependa sana mlipendeza kwa kweli

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 25, 2010

    Marylin Mashiba ni Ndugu wa Rais au ni mtoto wa pinda? Au atamimi nikiwa na send off ninaweza mkaribisha mweshimiwa rais akaja?

    Asante mkinijibu nitafurahi

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 25, 2010

    Huyo dada anaolewa na mtoto wa JK ama mtoto wa Pinda? mmmh maana sijaona picha ya babake akimlisha keki bali JK na Mama Pinda ndio maana nauliza? Au ndio tunaoneshwa kuwa watu wako karibu, basi apewe kabisa viti maalumu kama zawadi ya send off tujue moja.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 25, 2010

    mh!one photo with thousand meanings!halo haalo haalooo!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 25, 2010

    Wadau naomba msaada? huyu mashiba ni nani? ndugu ya pinda au JK, au kigogo serikalini?? Msaada tu, kuuliza sio ujinga, ujinga ni kujifanya unajua hata kama hujui,

    mdau ughaibuni

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 25, 2010

    Kaka Michu, hata mimi nina harusi mwezi ujao na ningependa JK ahudhurie je waweza nisaidia kumfikishia kadi ya mwaliko?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 25, 2010

    Huyo marylin mashiba ndio nani hapa mjini?
    Bi harusi kapendeza kweli na anaonekana kitu mwake bila wasiwasi.
    Hongera sana kuhudhuriwa shughuli yako na mweshimiwa si jambo dogo mama.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 25, 2010

    Marlin Ben Mashiba ni binti wa bwana na bibi ben mashiba. Bwana Ben mashiba ni KACHERO wa muda mrefu na mwenye uzowefu mkubwa katika tasnia ya ukachero. pia kwa sasa ndiye mkuu wa walinzi wa JK.
    Hongereni sana bwana na bibi mashiba kwa kukuza. Ni fahari kuona marlin anaolewa kwa heshima

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 25, 2010

    Duh hi kali kuliko...Send Off tu Mnamwalika Mfalme...jee Harusi yenyewe...Hata hivyo imependeza ila mimi haijanifurahisha kumuita JK kwenye kamnuso kadogo na kutuonyesha kana kwamba unajipigia debe la Ubunge wa kuteuliwa. Mheshimiwa angalizao: usije ukamteua tena huyu kwenye viti vyako kumi kwani tutarejea hizi picha na kumwambia Dakta Edward kuwa Dada Marylin alijipigia debe ateuliwe ubunge wa viti maalum.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 25, 2010

    eti kweli huyo marylin mashiba ni nani? tuambieni,maana
    mpaka JK yumo!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 25, 2010

    Ankali toa utambulisho basi... sisi hatumjuhi huyu dada..mpaka JK amafika inaoneka ni mtu mkubwa au familia yake
    Nitashukuru kama utaweza kuweka utambulisho

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 25, 2010

    oh my Gawd..Thansk ankal michuzi for these pictures. I went to school with marylin in mombasa Bush tuition school and i havent seen her since then must be around 80s.......Kila la kweri babes

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 25, 2010

    Mtueleweshe...huyo Marilyn ndio nani hapa Tanzania?

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 25, 2010

    Who is it!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! nobody knows her at least tell us who she is

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 25, 2010

    huyu ni nani kwani? tuwekeeni habari zinazoeleweka sio za kuacha maswali kwetu wasomaji.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 25, 2010

    ningependa kujuzwa huyo Marylin ni nani?
    inaonekana ni celebrity, wenye majibu, tafadhali tusaidieni.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 25, 2010

    Hongera Mzee Mashiba. Marylin, all the best and Mr wako.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 25, 2010

    Kazi ipo....

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 25, 2010

    bi harusi mzuri na iyo mimba yake acha kabisa!!

    baba yake anaonekana mtulivu sana

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 25, 2010

    nami naomba kujua ninani wadau

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 25, 2010

    who is marylin mashiba???

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 25, 2010

    Wacha wapi wewe!!mbona sijaona? lakini ndio ukubwa,Nakupa ongera kidogo tu.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 25, 2010

    Jamani hizo keki mnazolishana wenzenu wazungu mnaowaiga huwa wanalishana maharusi tu sasa nyinyi utamaduni huu mmeupata wapi?

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 25, 2010

    anko hata mie nataka kujua huyu marlyn ni nani

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 25, 2010

    Jamani naombeni maelezo huyo bibi harusi mtarajiwa ni nani maana hadi JK kasakata rumba sijaamini macho yangu.Nipe data jamani nimjue huyo mlimbwende haki kakusanya Kigogo wa nchi hapo?Michuzi please!!

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 25, 2010

    sasa ni baba yake ni kiongozi bibi au bwana sababu sijawahi kuwasikia,ni watoto wa pinda au sababu naona mama pinda akimlisha keki bibi harusi

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 25, 2010

    JK safi sana mzee wa pwani:

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 25, 2010

    michuz ebu tuambie Meryline ni mtoto wa kigogo gani???? au Robert ni nani?/ unatuweka pending kwa sissi tusiejua more expln plzzzzzzz

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 25, 2010

    Huyo Marlyn Monroe ndio nani? unajua kupiga picha lakini uandishi wa habari huujui kabisa....

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 25, 2010

    At least ungesema so and so ...ni fulan...au ni mtoto wa fulan ...

    kama umesziweka humu na tunaona viongozi wote wa nchi wako humo basi kuna huyo mtu ana umuhimu fulani si vibaya ungetueleza..

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 25, 2010

    Kweli huyo Marlyin ni nani maana tunashangaa tu kusikia ooh kapendeza , kalishwa keki!

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 25, 2010

    Huyo ni mtoto wa mkuu wa walinzi wa JK anaitwa Ben Mashiba mwenyeji wa mwanza. mnashangaa nini na mswali meeengiiiii

    ReplyDelete
  38. Hongera sana Marilyn na Robert

    ReplyDelete
  39. AnonymousJune 26, 2010

    Marylin Mashiba si mtoto wa kigogo yeyote bali ni mtoto wa mfanyakazi wa Ikulu. Kwahiyo hapo JK, Mama JK, Mama Pinda na wafanyakazi wengine wa Ikulu walikwenda kumpongeza mwenzao.
    Hata hivyo ninavyomfahamu mimi JK amekuwa akihudhuria shughuli nyingi tu kama hizo wakati kabla hajakuwa Rais, kwa hiyo sishangai wakati kama huu akipata nafasi kuhudhuria harusi ya mtoto wa mfanyakazi mwenzao.

    ReplyDelete
  40. AnonymousJune 26, 2010

    baba yake anaonekana mtulivu sana....hahahah

    ReplyDelete
  41. AnonymousJune 26, 2010

    Lorna nakuona kwa mbali u look mwaah as usual

    ReplyDelete
  42. AnonymousJune 26, 2010

    JK Tengeneza PR zaidi kwa kuwapa msosi Yatima na vilema kama Mengi anavyofanya, maana ndo tunalolisubiri

    THANK YOU

    ReplyDelete
  43. AnonymousJune 26, 2010

    KWA ASILIMIA 99% LEO NIMEAMINI WATANZANIA NI WAMBEA WANAPENDA SANA KUJUA PERSONAL STORIES ZA WATU KULIKO JAMBO LINGINE LOLOTE LILE, YAANI JK, MKEWE NA MAMA PINDI KUHUDHURIA HARUSI IMEKUWA WIMBO WA TAIFA IMEWAKUNA HADI MNATAKA KUJUA BINTI NI NANI JAMANI JIFUNZENI MAMBO YA DIPLOMACY SIO KILA KITU KINASEMWA

    ReplyDelete
  44. AnonymousJune 26, 2010

    HII NDIO KIKWETE ROYAL FAMILY.....MMMHHH SISEMI MENGI...

    ReplyDelete
  45. AnonymousJune 26, 2010

    KAKA MICHUZI,SASA JOURNALISM INAHITAJI FOCUS KATIKA KUFAFANUA NEWS.MARA NYINGI UNATOA PICHA BILA KUFAFANUA KWA NDANI NANI NI NANI.UNAJUA KUWA BLOGU YAKO INASOMWA DUNIA NZIMA HIVYO NI VIZURI KUTOA BACKGROUND YA NEWS.WOTE HATUMJUI HUYU DADA NA PIA UHUSIANO WAKE NA JK.PLEASE LET US KNOW.

    ReplyDelete
  46. AnonymousJune 27, 2010

    EBU WATANZANIA ACHENI UMBEA! WHO IS MARILYN ? WHY DO YOU CARE SO MUCH WHO MARILYN IS? SO UKISHAJUA ITAKUSAIDIE VIPI KWENYE MAISHA NA STRUGGLES ZAKO?

    HEBU MIND YOUR OWN DAMN BUSINESS!

    ReplyDelete
  47. AnonymousJune 27, 2010

    Ok huyu Merlin ni mtoto wa Mashiba , ambaye ni mkuu wa masauala ya ulinzi wa Raisi.

    Hakuna kingine kuhusu huyo binti sana sana fammilia hiyo iliingia kwnye headline pale kaka wa huyu Meryyline alipo husishwa na ugomvi na msanii wa Bongo flava T.I.D na kusababisha TID kufungwa jela baadaya ku shambuliwa na kuumizwa na msanii huyo wakiwa Slipway (sijui ni hotel or resort ) mtajiju!

    ReplyDelete
  48. AnonymousJune 27, 2010

    Rais kuudhuria harusi ni kitu cha kawaida, kwani nae ana watu wa karibu anaowafahamu, marafiki n.k...anyways..mnaotaka kujua huyo binti ni nani.... ni mtoto wa mmoja kati ya walinzi wakuu wa j.k!!

    Mdau,
    USA

    ReplyDelete
  49. Nadhani si ubinadamu hata kama mtu akiwa jabazi anapokufa basi asibebwe kama mzoga au mnyama ni jambo labusara achukuliwe vizuri na kuwekwa kweny hilo gari la polisi kama biadamu aaliye kosa.

    ReplyDelete
  50. AnonymousJuly 01, 2010

    mmh!!!!!!!! bibi harusi and Robert look good!!!!!i know Marilyn's hair style looks fabulous!!!!!!!!! Oh!Tanzanian people i think we should realise and understand that Tanzanian learders are also human being who would like to socialise and have fun not only with their families but also with their friends and work colleagues like ordinary people!!!!! I am sure that the Learders were showing their great support and appreciation to the Mr and Mrs Mashiba's family. if you think is wrong or is not fair for them to participate in this ceremon then all i can suggest study hard and work hard as Mr.Mashiba did so that you can get opportunity to socialise with the Tanzanian President and other learders.Alright!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...