Kombo alipomkumbatia Kaka neshno
Kombo akitoka uwanjani kwa furaha
Kombo ashangilia. Picha za uwanjani na www.globalpublisherstz.com


Kijana Nagari Kombo (kushoto), akisindikizwa na askari kanzu, wakitoka Kituo Kikuu Polisi (Police Centre), Dar es Salaam jana mara baada ya Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, kutangaza kumpatia dhamana na suala lake kupelekwa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Uwanja wa Taifa kwa ajili kushughulikiwa kwa sheria zinazotawala mambo ya michezo. Kwa mujibu wa Afande SKova, Kombo atakuwa nje kwa dhamana huku akitakiwa kuripoti mara moja kila wiki katika kituo hicho wakati suala lake likishughulikiwa.
.
Kombo akiwa kwenye gari na babake (kulia) pamoja na Askari kanzu wakielekea Polisi Chang'ombe kupewa dhamana. Picha na Globu ya Jamii





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2010

    Duh!. Nimeamini kwa nini askari wa siku hizi wanaweza kufyatulia risasi kwa bahati mbaya. Yaani askari kanzu anaonekana mtu wa chicha hasa tena atakuwa anatumia chang'aa.

    ReplyDelete
  2. hahahaha jamaa kashatoka huyoo,hamna kesi tena hapo,,,ila mjombaaa...hivi hii pombe ya gongooo wanakunywa raia pekeyao au hadi vijana wa kovwa?....itatumaliza jamani...tufanye kazi..
    popobawa hapa..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2010

    haya mambo ya kishamba huyu mtu mzuka umempanda baada ya kumuona kipenzi chake kaka na hivi ni vitu vya kawaida baada ya kumuona mtu ambaye kwako ni shujaa, mbona ni vitu vya kawaida kwa wenzetu wa duniani, watu wangapi wanafanya vitu kama hivi halafu wanapewa onyo tu, itakuwaje sisi huku bongo tumpleke mtu mpaka lupango? tubadilike jamani.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2010

    Wamuachie tu jamani huyi Dogoz wa watu, bado ana life la kuishi mbele yake. Ni mzuka tu jamani ulipanda! Wee unafikiri kuwaona Brazil wakicheza live uwanjani mchezo? Tena ukute timu yake aipendayo yeye ni Brazil? Tena hata hizo records za huko polisi ikiwezekana zifutwe ili zisijemtia doa huko mbeleni kuwa aliwahi kushitakiwa.

    Natumai huko polisi yote yalikuwa shwari.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2010

    mhhh kijana wa kova anatumia konyagi mwitu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 09, 2010

    tena hapo wa kuwekwa ndani walikuwa tff sio huyo kijana. we unafikiri elfu 30 ndogo?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 10, 2010

    huyu ni mcheza bao tu hafananii kiras makunja kabsaa hii ni nyagi mwitu ndo unakuwa mithili hii he!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2010

    hao wazee wenyewe mbona sura zimewachakaa sana au ndio mambo ya konyagi mwitu hayo? ha.ha.. amakweli gongo mbaya,afya za polisi wa bongo zinatisha.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 10, 2010

    Jamani mbona hawatokei watu kukimbilia uwanjani kumkumbatia Ulimboka Mwakingwe? Ulimbukeni wa wageni unatusumbua sana.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 10, 2010

    Hahahahahaha wabongo wanajua ku-analyse picha duh nilikuwa nasubiri madongo.Mnifurahisha kwa sana.

    ReplyDelete
  11. Marangu OneJune 10, 2010

    Wamuachie Bana.

    Kama lazima afungwe mtu basi afungwe kamanda wa operesheni ya ulinzi siku hiyo. Na hata huyo hastahili kufungwa, labda alimwe gadi mpaka asahau nyumbani pakoje.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 10, 2010

    Jamani hao askari kanzu mbona mikonoz mingi yaani hivi ndivyo wanavyo wa treat watuhumia au manaake imekuwa kama joke huyo kijana kachoka tu alitaka ujiko ameshaupata basi mwachane akagange njaa na pombe zake za mchana punguzuzeni matap tap

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 10, 2010

    Huyu kijana maskini hana uzalendo kabisa. Yeye kaenda uwanjani kushangilia Brazil.Namuonea huruma dogo huyu.

    Na huyu askari kanzu vipi? hiyo midomi imeungua na chai au?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 10, 2010

    jamani huyo dogo mnamwonea bure sio kibaka wala nini huo ni mdadi tu kuna wakati mdadi unaweza ukampata mtu akarusha teke kama yuko uwanjani so sioni sababu ya kumpa kashikashi huyo dogo.JUST LET HIM BE FREEEEEE!!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 10, 2010

    vijana wa kova walichemsha kazi je angekuwa na kisu akamdunda kaka nyie semeni tu mzuka ulinzi nihakuna kabisa na kama anapenda kinywaji huyo poti lazima alambe pombe halamu kwani mshahara mnamulipa bei gani we unategemea mshara wa kilo utakunywa bia never ongezeni pesa lasivyo midomo itapauka sana

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 10, 2010

    Hivi askari kanzu aliyewekwa front page bado ni askari kanzu? Mie nilifikiri kuwa askari kanzu hatakiwi ajulikane. Pia Kombo ameshashikwa, "upelelezi" umeshafanyika, OB ameshakaa, sasa askari kanzu anaingilia wapi? Au anajichuna na mapaparasi? Shule finyo...
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  17. Gamba KuffuJune 10, 2010

    dah hiyo whisky mwitu live huyu jamaa yaelekea ana undugu na sokomoko na mhudhuriaji mzuri kwa mama muuza..dah wadau mmenifurahisha sana leo juu ya mwonekano wa huyo kijana wa kova

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 10, 2010

    Huyu kijana aachiliwe tu. Hajavunja sheria yoyote wala hajamdhuru mtu yoyote. Huko Ulaya, adhabu ya mtu kama huyu ni kufungiwa kufika stadium mechi moja au mbili. Basi. Hivi juzi juzi tu mshabiki 1 aliingia uwanjani kumkumbatia Ronaldinho. Mwaka 2006, jijini Paris, katika fainali ya klabu bingwa Ulaya kati ya Arsenal na Barcelona lililotazamwa na watu takriban milioni 400 katika TV, kuna mshabiki pia aliingia uwanjani na kumpa Thierry Henry jezi ya Barca. Mshabiki huyo alitolewa uwanjani na kurudishwa katika kiti chake akaendelea kutazama mpira. Nadhani mahakama zetu zina kesi muhimu zaid kuliko hii.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 10, 2010

    Du!poor kid he did it out of pure love - aachiwe jamani - bro Kova pls.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 10, 2010

    Pole Kombo..lakini hii ni changamoto kwa TFF na Serikali kwa maana BMT au wizara ya michezo, kuwa na utaratibu wa vijana kujiandikisha kupiga picha, kukumbatia, kupata saini za wachezaji maarufu wa kigeni, hata kwa ada ndogo tu...huoni kuwa hapo begi la TFF litajaa minoti na vijana watatimiza ndoto zao?

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 10, 2010

    kwa kitu gani kibaya ambacho yule jamaa amekifanya so akashtakiwa? the government ya tanzania ni full of jiberish kuanzia rais kikwete, any way hii ni personal kwako cause hujui how people hate u, the most ignorant president we ever witness ulimwenguni, huwezi hata toa speech watu wakakuelewa kazi kucheka cheka usenge tu, fuck u n ya government, the reason why ccm mnaongoza hapo ni sababu watanzania hawajafunguka na once wakifunguka u muther fuckerz mtatafuta pa kwenda, its cuming learn wat happn from kenya cause them fox they had enough of same bull shits ambazo mnazingua nyinyi thus why they had to step on the plate, so be ready u muther fucker we cuming for u, if not now then later but we r cuming definetly

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 10, 2010

    nilimpenda uyu dogo kwa ule ujasiri na mdadi lol

    eshakuwa Tz hero hahahahaa

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 10, 2010

    AFUNGWE TU AKILI YAKE SI NZURI NA HII ITAFUNDISHA TABIA ZAIDI MBAYA KWA KIZAZI KIPYA,KAMA UNAVYOUJUA TANZANIA NI MOJAWAPO AMBAZO HAZIENDELEI KATIKA SOKA KWA KUWA TANZANIA NI NCHI AMBAYO HAINA NIDHAMU KATIKA SOKA NDIYO MAANA HATUENDELEI,UKUACHIA HIVI WATAINGIA UWANJANI WENGINE KIBAO

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 10, 2010

    Minadhani tujiuluze au tuwaulize waliomkamata huyo kijana alipitia wapi mpaka akafika kwa kaka? jibu litalo patikana ndilo liwatie ndani hao walinzi. lakini jamani turudi nyuma hatakama nimimi au wewe mushangao nilazima hawa jamaa waliacha ulinzi wakawa wanatazama kabumbu.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 10, 2010

    HAHAHAHA HAHAHAHA HAHAHAH HAHAHA HAHAHAH AHAHHA HAHAHA HAHAHAH AHAH

    KATIKA COMMENT ZA SIKU ZOTE COMMENT HIZI ZA LEO ZIMENICHEKESHA SANA

    COMMENTS ZIMEFANYA SIKU YANGU KUWA NJEMA KABISA YENYE FURAHA KIBAO

    KWANI WATOA COMMENT WOTE WAMEONGELEA KITU CHA MAANA NA CHA UKWELI MTUPU

    JAMAA HANA MAKOSA YEYOTE KWANI MAMBO KAMA HAYO HUTOKEA POPOTE DUNIANI

    WENGINE HUINGIA UWANJANI WAKIWA UCHI WA MNYAMA

    NI JAMBO LA KAWAIDA TENA KWA NCHI KAMA YETU KUCHEZA NA BRAZIL NI LAZIMA UJITOLEE TENA KIINGILIO MIHELA KIBAO KWANINI ASIFURAHIE

    MWACHENI HUYO KIJANA HANA MAKOSA KABISA NA MKIMFUNGA UJUWE MNAJITIA AIBU KUBWA

    NA HAO VIJANA WA KOVA KWAKWELI WANATIA AIBU TAIFA SANA YANI MH!

    VIJANA WA KOVA WANAKAMUA POMBE HARAMU NA MOSHI WA MSUBA

    VIJANA WA KOVA WACHENI KUJIKANDAMIZA MAJI YA HARAMU ALAFU MNAINGIA KAZINI ANGALIA SASA MDOMO UMECHOMEKA KAMA UMEKULA MHOGO WA KUCHOMA

    AIBU AIBU AIBU SASA AFANDE AROFONSO KAMA HUYO KWELI ATAWEZA VP KUFATA SHERIA IKIWA UTAMUNYESHA CHUPA LA KONYAGI HARAMU

    HAHAHAHAHAHA HAHAHAHAHA HAHAHAHA
    HEHEHEH HEHEHE HEHEHE HEHEHEH

    KAKA MICHU NAOMBA HIYO PICHA NA HIZO COMMENTS USIZITOE HARAKA MAANA ZINAFURAHISHA SANA ETI WENGINE WANAULIZA KIJANA WA KOVA VP MDOMO KAUNGUA NA CHAI HAHAHAHA


    mdau wa mahakama kuu ya dunia

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 10, 2010

    daaah ya leo kali kweli huyo kijana hana makosa yeyote wala hakupaswa kuwekwa ndani mpaka leo

    kweli taifa letu linatia aibu kuanzia ngazi za chini mpaka za juu maana hawajui nini wanachokifanya

    na huyo kova mdogo anatia aibu sana yani hapo ni gongo kwa kwenda mbele alafu mambo yameisha lakini bado anajipachika kupata ze taswiraaaaz

    ankal mzee wa mithupu mtafute huyu kijana wa kova umpige ma twasiraaz maana anapenda atokee kwenye mapichaz

    kijana wa kova mdomo umewaka moto kwa ze konyagiz haramuz anagonga konyagi haramu kama vile chai

    kova fanya ukaguzi wa hali ya juu kuhakikisha vijana wako hawaudhurii vikao vya mama muuza ze konyagiz maana ni hatari

    vijana wako wanapenda kujibanika maini tumboni kwa hizo ze konyagiz haramu pombe ya msituni hahahahaha

    sasa kijana wa kova umekula mchuma unaenda wapi? tena mchuma wa mtu binafsi hata sio wa afande muta

    kaazi kweli kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...