Kombo alipomkumbatia Kaka neshno
Kombo akitoka uwanjani kwa furaha
Kombo ashangilia. Picha za uwanjani na www.globalpublisherstz.com.
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Kombo alipomkumbatia Kaka neshno
Kombo akitoka uwanjani kwa furaha
Kombo ashangilia. Picha za uwanjani na www.globalpublisherstz.comTanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh!. Nimeamini kwa nini askari wa siku hizi wanaweza kufyatulia risasi kwa bahati mbaya. Yaani askari kanzu anaonekana mtu wa chicha hasa tena atakuwa anatumia chang'aa.
ReplyDeletehahahaha jamaa kashatoka huyoo,hamna kesi tena hapo,,,ila mjombaaa...hivi hii pombe ya gongooo wanakunywa raia pekeyao au hadi vijana wa kovwa?....itatumaliza jamani...tufanye kazi..
ReplyDeletepopobawa hapa..
haya mambo ya kishamba huyu mtu mzuka umempanda baada ya kumuona kipenzi chake kaka na hivi ni vitu vya kawaida baada ya kumuona mtu ambaye kwako ni shujaa, mbona ni vitu vya kawaida kwa wenzetu wa duniani, watu wangapi wanafanya vitu kama hivi halafu wanapewa onyo tu, itakuwaje sisi huku bongo tumpleke mtu mpaka lupango? tubadilike jamani.
ReplyDeleteWamuachie tu jamani huyi Dogoz wa watu, bado ana life la kuishi mbele yake. Ni mzuka tu jamani ulipanda! Wee unafikiri kuwaona Brazil wakicheza live uwanjani mchezo? Tena ukute timu yake aipendayo yeye ni Brazil? Tena hata hizo records za huko polisi ikiwezekana zifutwe ili zisijemtia doa huko mbeleni kuwa aliwahi kushitakiwa.
ReplyDeleteNatumai huko polisi yote yalikuwa shwari.
mhhh kijana wa kova anatumia konyagi mwitu
ReplyDeletetena hapo wa kuwekwa ndani walikuwa tff sio huyo kijana. we unafikiri elfu 30 ndogo?
ReplyDeletehuyu ni mcheza bao tu hafananii kiras makunja kabsaa hii ni nyagi mwitu ndo unakuwa mithili hii he!
ReplyDeletehao wazee wenyewe mbona sura zimewachakaa sana au ndio mambo ya konyagi mwitu hayo? ha.ha.. amakweli gongo mbaya,afya za polisi wa bongo zinatisha.
ReplyDeleteJamani mbona hawatokei watu kukimbilia uwanjani kumkumbatia Ulimboka Mwakingwe? Ulimbukeni wa wageni unatusumbua sana.
ReplyDeleteHahahahahaha wabongo wanajua ku-analyse picha duh nilikuwa nasubiri madongo.Mnifurahisha kwa sana.
ReplyDeleteWamuachie Bana.
ReplyDeleteKama lazima afungwe mtu basi afungwe kamanda wa operesheni ya ulinzi siku hiyo. Na hata huyo hastahili kufungwa, labda alimwe gadi mpaka asahau nyumbani pakoje.
Jamani hao askari kanzu mbona mikonoz mingi yaani hivi ndivyo wanavyo wa treat watuhumia au manaake imekuwa kama joke huyo kijana kachoka tu alitaka ujiko ameshaupata basi mwachane akagange njaa na pombe zake za mchana punguzuzeni matap tap
ReplyDeleteHuyu kijana maskini hana uzalendo kabisa. Yeye kaenda uwanjani kushangilia Brazil.Namuonea huruma dogo huyu.
ReplyDeleteNa huyu askari kanzu vipi? hiyo midomi imeungua na chai au?
jamani huyo dogo mnamwonea bure sio kibaka wala nini huo ni mdadi tu kuna wakati mdadi unaweza ukampata mtu akarusha teke kama yuko uwanjani so sioni sababu ya kumpa kashikashi huyo dogo.JUST LET HIM BE FREEEEEE!!!!
ReplyDeletevijana wa kova walichemsha kazi je angekuwa na kisu akamdunda kaka nyie semeni tu mzuka ulinzi nihakuna kabisa na kama anapenda kinywaji huyo poti lazima alambe pombe halamu kwani mshahara mnamulipa bei gani we unategemea mshara wa kilo utakunywa bia never ongezeni pesa lasivyo midomo itapauka sana
ReplyDeleteHivi askari kanzu aliyewekwa front page bado ni askari kanzu? Mie nilifikiri kuwa askari kanzu hatakiwi ajulikane. Pia Kombo ameshashikwa, "upelelezi" umeshafanyika, OB ameshakaa, sasa askari kanzu anaingilia wapi? Au anajichuna na mapaparasi? Shule finyo...
ReplyDeleteBlackmpingo
dah hiyo whisky mwitu live huyu jamaa yaelekea ana undugu na sokomoko na mhudhuriaji mzuri kwa mama muuza..dah wadau mmenifurahisha sana leo juu ya mwonekano wa huyo kijana wa kova
ReplyDeleteHuyu kijana aachiliwe tu. Hajavunja sheria yoyote wala hajamdhuru mtu yoyote. Huko Ulaya, adhabu ya mtu kama huyu ni kufungiwa kufika stadium mechi moja au mbili. Basi. Hivi juzi juzi tu mshabiki 1 aliingia uwanjani kumkumbatia Ronaldinho. Mwaka 2006, jijini Paris, katika fainali ya klabu bingwa Ulaya kati ya Arsenal na Barcelona lililotazamwa na watu takriban milioni 400 katika TV, kuna mshabiki pia aliingia uwanjani na kumpa Thierry Henry jezi ya Barca. Mshabiki huyo alitolewa uwanjani na kurudishwa katika kiti chake akaendelea kutazama mpira. Nadhani mahakama zetu zina kesi muhimu zaid kuliko hii.
ReplyDeleteDu!poor kid he did it out of pure love - aachiwe jamani - bro Kova pls.
ReplyDeletePole Kombo..lakini hii ni changamoto kwa TFF na Serikali kwa maana BMT au wizara ya michezo, kuwa na utaratibu wa vijana kujiandikisha kupiga picha, kukumbatia, kupata saini za wachezaji maarufu wa kigeni, hata kwa ada ndogo tu...huoni kuwa hapo begi la TFF litajaa minoti na vijana watatimiza ndoto zao?
ReplyDeletekwa kitu gani kibaya ambacho yule jamaa amekifanya so akashtakiwa? the government ya tanzania ni full of jiberish kuanzia rais kikwete, any way hii ni personal kwako cause hujui how people hate u, the most ignorant president we ever witness ulimwenguni, huwezi hata toa speech watu wakakuelewa kazi kucheka cheka usenge tu, fuck u n ya government, the reason why ccm mnaongoza hapo ni sababu watanzania hawajafunguka na once wakifunguka u muther fuckerz mtatafuta pa kwenda, its cuming learn wat happn from kenya cause them fox they had enough of same bull shits ambazo mnazingua nyinyi thus why they had to step on the plate, so be ready u muther fucker we cuming for u, if not now then later but we r cuming definetly
ReplyDeletenilimpenda uyu dogo kwa ule ujasiri na mdadi lol
ReplyDeleteeshakuwa Tz hero hahahahaa
AFUNGWE TU AKILI YAKE SI NZURI NA HII ITAFUNDISHA TABIA ZAIDI MBAYA KWA KIZAZI KIPYA,KAMA UNAVYOUJUA TANZANIA NI MOJAWAPO AMBAZO HAZIENDELEI KATIKA SOKA KWA KUWA TANZANIA NI NCHI AMBAYO HAINA NIDHAMU KATIKA SOKA NDIYO MAANA HATUENDELEI,UKUACHIA HIVI WATAINGIA UWANJANI WENGINE KIBAO
ReplyDeleteMinadhani tujiuluze au tuwaulize waliomkamata huyo kijana alipitia wapi mpaka akafika kwa kaka? jibu litalo patikana ndilo liwatie ndani hao walinzi. lakini jamani turudi nyuma hatakama nimimi au wewe mushangao nilazima hawa jamaa waliacha ulinzi wakawa wanatazama kabumbu.
ReplyDeleteHAHAHAHA HAHAHAHA HAHAHAH HAHAHA HAHAHAH AHAHHA HAHAHA HAHAHAH AHAH
ReplyDeleteKATIKA COMMENT ZA SIKU ZOTE COMMENT HIZI ZA LEO ZIMENICHEKESHA SANA
COMMENTS ZIMEFANYA SIKU YANGU KUWA NJEMA KABISA YENYE FURAHA KIBAO
KWANI WATOA COMMENT WOTE WAMEONGELEA KITU CHA MAANA NA CHA UKWELI MTUPU
JAMAA HANA MAKOSA YEYOTE KWANI MAMBO KAMA HAYO HUTOKEA POPOTE DUNIANI
WENGINE HUINGIA UWANJANI WAKIWA UCHI WA MNYAMA
NI JAMBO LA KAWAIDA TENA KWA NCHI KAMA YETU KUCHEZA NA BRAZIL NI LAZIMA UJITOLEE TENA KIINGILIO MIHELA KIBAO KWANINI ASIFURAHIE
MWACHENI HUYO KIJANA HANA MAKOSA KABISA NA MKIMFUNGA UJUWE MNAJITIA AIBU KUBWA
NA HAO VIJANA WA KOVA KWAKWELI WANATIA AIBU TAIFA SANA YANI MH!
VIJANA WA KOVA WANAKAMUA POMBE HARAMU NA MOSHI WA MSUBA
VIJANA WA KOVA WACHENI KUJIKANDAMIZA MAJI YA HARAMU ALAFU MNAINGIA KAZINI ANGALIA SASA MDOMO UMECHOMEKA KAMA UMEKULA MHOGO WA KUCHOMA
AIBU AIBU AIBU SASA AFANDE AROFONSO KAMA HUYO KWELI ATAWEZA VP KUFATA SHERIA IKIWA UTAMUNYESHA CHUPA LA KONYAGI HARAMU
HAHAHAHAHAHA HAHAHAHAHA HAHAHAHA
HEHEHEH HEHEHE HEHEHE HEHEHEH
KAKA MICHU NAOMBA HIYO PICHA NA HIZO COMMENTS USIZITOE HARAKA MAANA ZINAFURAHISHA SANA ETI WENGINE WANAULIZA KIJANA WA KOVA VP MDOMO KAUNGUA NA CHAI HAHAHAHA
mdau wa mahakama kuu ya dunia
daaah ya leo kali kweli huyo kijana hana makosa yeyote wala hakupaswa kuwekwa ndani mpaka leo
ReplyDeletekweli taifa letu linatia aibu kuanzia ngazi za chini mpaka za juu maana hawajui nini wanachokifanya
na huyo kova mdogo anatia aibu sana yani hapo ni gongo kwa kwenda mbele alafu mambo yameisha lakini bado anajipachika kupata ze taswiraaaaz
ankal mzee wa mithupu mtafute huyu kijana wa kova umpige ma twasiraaz maana anapenda atokee kwenye mapichaz
kijana wa kova mdomo umewaka moto kwa ze konyagiz haramuz anagonga konyagi haramu kama vile chai
kova fanya ukaguzi wa hali ya juu kuhakikisha vijana wako hawaudhurii vikao vya mama muuza ze konyagiz maana ni hatari
vijana wako wanapenda kujibanika maini tumboni kwa hizo ze konyagiz haramu pombe ya msituni hahahahaha
sasa kijana wa kova umekula mchuma unaenda wapi? tena mchuma wa mtu binafsi hata sio wa afande muta
kaazi kweli kweli