katika kinyanganyiro cha kumtafuta Miss Kilimanjaro 2010
Na Woinde Shizza
Na Woinde Shizza
wa Globu ya Jamii, Kilimanjaro
Miss Vodacom Kilimanjaro anatarajiwa kupatikana juni 12 mwaka huu katika mashindano yatakayowashirikisha warembo 12 watakaochuwana kuwania taji hilo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Scorpion Promotion and Entertainment inayoandaa mashindano hayo,Jackline Chuwa amesema kuwa maaandalizi kwa ajili ya mashindano hayo yamekamilika na kwamba yatafanyika katika ukumbi wa Club La Liga,mjini Moshi.
Chuwa amesema kuwa mrembo wa kwanza katika mashindano hayo atazawadiwa laptop ya kisasa yenye thamani ya shilingi laki nane na fedha taslim shilingi laki tano ambapo mrembo wa pili ataondoka na kitita cha shilingi laki saba na nafasi ya kusoma full Secretariat huku wa tatu
akipata laki tano.
Mshindi wa nne atapata laki tatu na sabini elfu,ambapo wa tano atapata shilingi laki mbilina nusu na kwamba washiriki wengine wote waliobakia watapata kifuta jasho cha shilingi elfu hamsinikila mmoja.
Amesema kuwaonyesho hilolitasindikizwa na wasanii kama Chege,Offside trick,Boda 2 Boda na Bendi ya Serengeti ambapo amewataja wadhamini wakuu wa mashindanohayokuwa ni Vodacom,TBL na Mr Price.

hao warembo wafundishwe 'colour coding', nguo nyekundu na nyeupe, viatu bluu, kijani, brown . .angalau nyeusi kidogo!!
ReplyDeleteWamependeza kweli wasichana wa watu lakini walipopigia picha weeee.....yaani pako simple kweli...Hayo majani yana weeds kishenzi...Kwanini kama walijua watafanyia photo shooting yao hapo wasipatengeneze kidogo.
ReplyDeleteTunapenda vitu simple sana hiyo ilikua kazi ya masaa mawili tu. Wangewavalisha hao wadada raba na kuwaambia kushughulikia hiyo sehemu within a minute...Kwanza ingewasaidia kwa afya zao pia...Mazoezi sio lazima kuajiri watu
Vimwana wa nguvu.
ReplyDeletemrembo wakweli afananishwe rangi ya uso na magoti.
ReplyDeleteTazama kitu kile cha kinigeria kilishowahi kuibuka kidedea miss world.
jamani vimwana wamependenza. narudi bongo kuoa. ukapera leo mwisho. dada wa pili kutoka kulia. moyo wangu umekudondokea.
ReplyDeleteHii budget ya shindano lao ni ndogo sana. The thing looks so cheap..Watapata muwakilishaji mwenye ubora hapo kweli aje auwakilishe ulimwenguni? Hebu angalia yule wa kule mfupiiii..Wanajua requirements za haya majambo international kweli ama wanatania...Sio vipaji, brain na sura yako tu ndio vinauza bali hata appearance. Height muhimu kwenye haya majambo....
ReplyDeleteAFASHALI SHULE YA UREMBO IMEFUNGULIWA LABDA WATAFUNDISHA DARASA LA INTERNATIONAL BEAUTY 101
Aaaa!
ReplyDeleteWe Michuzi MAGUMASHI wewe unatuyzinguz wewe.
Nenda kule kwa Mroki uwone anavyotupa Snepu za hao maMiss za uhakika.
Wacheni kutubania bania. Wengine siye hizi ndio starehe zetu kama nyie starehe zenu za BWAWA la MAINI
kilimanjaro jmni mko nyuma sna yani since miaka hiyo mpk leo apart frm top 5,da rest ni 50,000 embu wekeni changamoto,nilishiriki Miss Kilimanjaro mwaka 2002 imagine zawadi kwa washindi wa sita na d rest ni da same mpk leo,ndio maana washiriki ni wachache hakuna motisha,waandaaji liangalieni sual hili kwa upya.!othrwise mtaishia kupata warembo wacokuwa na vigezo kila kukicha.!!!
ReplyDelete