Home
Unlabelled
ujerumani yazizima wakati maradona akatiwa tiketi ya kurudi kwao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! Wewe unapenda usalama kweli. Hata picha beneti beneti ma vimeremeta. Unahofia vijana wa Adolph wasikufanyie kweli? Umefanya kweli kwani wengine bado wana hasira na Boateng.
ReplyDeleteBlackmpingo
Hahahah Maradona wa watu Economy class?
ReplyDeleteThat ticket is fake..
Duh Kabendera ketu kanatia aibu kwani nchi yetu haijivunii na kuwa huru kutoa bendera zenye kuonyesha kujiamini. Ni aibu sana.
ReplyDeletenarudia tena kuuliza, jamani tanzania imo kwenye world cup?
ReplyDeleteUmeona wapi yakochiwa na mvuta unga ikafanya vizuri huyu hata Economy Class haimfai angewekwa kwenye mizigo kabisa.
ReplyDeletehe he he he hao wajuukuu wa hitlaa hawatabiliki wehu kwei kweii.bora umejisalimishaa kwa ras maana wakishapata mmoja baridi mmoja motoo nikutembeza bakora tu.jiahadhari mwana.
ReplyDeleteWacheni Ushamba mtu kukaa Economic sababu anamapesa ndio asikae hiyo ndio azabu waliopewa France wote walipelekwa Economic tena Bora wangerudishwa na Meli ya Jahazi.
ReplyDeleteJamani hiyo yenye rangi za Tanzania sio bendera ni Kitambaa hicho.
ReplyDeleteSawa wote tunajua kuwa baada ya kichapo lazima Maradona alikatiwa tiketi ya kurudi kwao lakini hiki mnachotuonyesha si tiketi ni boarding pass.
ReplyDeleteMdau Sinza Madukani.
Boarding Pass hutolewa ukionyesha nini?
ReplyDeleteSOKA LA UJERUMANI NDIYO SOKA LA KUJIFUNZA KWA NCHI INAYOTAKA MAENDELEO YA SOKA.
ReplyDeleteDu! Mungu wangu nakuona ras makunja ulivyotakata umekuwa kama mzungu?? kwani sabuni gtani? unayotumia,
ReplyDelete