tiketi ya ndege ya kocha wa Argentina. Sijui na yeye atapelekwa Makumbusho kama alivyomshauri Pele..
mdau Malumbo S. Malumbo katika akiwa na Ras Makunja wa mjini Augsburg Ujerumani kusherehekea nchi hiyo kuingia Nne bora za kombe la dunia kwa kuibanjuua argentina.

Furaha mji wa Augsburg baada ya ujerumani kuingia nne bora


mdau akijiunga na kina Ras Makunja kusherehekea

oye!







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2010

    Duh! Wewe unapenda usalama kweli. Hata picha beneti beneti ma vimeremeta. Unahofia vijana wa Adolph wasikufanyie kweli? Umefanya kweli kwani wengine bado wana hasira na Boateng.
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2010

    Hahahah Maradona wa watu Economy class?
    That ticket is fake..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2010

    Duh Kabendera ketu kanatia aibu kwani nchi yetu haijivunii na kuwa huru kutoa bendera zenye kuonyesha kujiamini. Ni aibu sana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2010

    narudia tena kuuliza, jamani tanzania imo kwenye world cup?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 04, 2010

    Umeona wapi yakochiwa na mvuta unga ikafanya vizuri huyu hata Economy Class haimfai angewekwa kwenye mizigo kabisa.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 04, 2010

    he he he he hao wajuukuu wa hitlaa hawatabiliki wehu kwei kweii.bora umejisalimishaa kwa ras maana wakishapata mmoja baridi mmoja motoo nikutembeza bakora tu.jiahadhari mwana.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 04, 2010

    Wacheni Ushamba mtu kukaa Economic sababu anamapesa ndio asikae hiyo ndio azabu waliopewa France wote walipelekwa Economic tena Bora wangerudishwa na Meli ya Jahazi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 04, 2010

    Jamani hiyo yenye rangi za Tanzania sio bendera ni Kitambaa hicho.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 05, 2010

    Sawa wote tunajua kuwa baada ya kichapo lazima Maradona alikatiwa tiketi ya kurudi kwao lakini hiki mnachotuonyesha si tiketi ni boarding pass.
    Mdau Sinza Madukani.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 05, 2010

    Boarding Pass hutolewa ukionyesha nini?

    ReplyDelete
  11. SOKA LA UJERUMANI NDIYO SOKA LA KUJIFUNZA KWA NCHI INAYOTAKA MAENDELEO YA SOKA.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 05, 2010

    Du! Mungu wangu nakuona ras makunja ulivyotakata umekuwa kama mzungu?? kwani sabuni gtani? unayotumia,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...