Rais wa Bendi ya FM Academia Nyoshi El- Saadat(katikati) akizungumzia uzinduzi wa Album yao ya sita(6) ijulikanayo kama "Vuta nikuvute". Uzinduzi huo umepangwa kufanyika siku ya Iddi Mosi katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. Wengine katika picha ni Meneja wa Bendi hiyo Mujib Khamis(kushoto) na Afisa Habari wa Idara ya Habari Zahra Majid. Picha Tiganya Vincent-MAELEZO
Home
Unlabelled
FM Academia kuzindua albamu yao ya sita iddi mosi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mziki ...Idd, mmmh, haya...
ReplyDeleteNADHANI UMEFIKA WAKATI SASA HAYA MAMBO YA MAASI KATIKA SIKU TAKATIFU ZA KUMKUMBUKA MUMNGU YAKOME.
ReplyDeleteIDI SI SIKU YA WASICHANA KUCHEZESHA MIILI YAKO KADAMNASI WANAPOISHEREHEKEA.
KAMA MNAZINDUA HIYO ALBAMU YENU KWA NIA YA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA IDD, MWELEWE KUWA IDD HAISHEREHEKEWI KWA MAASI, HUSHEREHEKEWA KWA MEMA, KULA VIZURI, KUVAA NGUO MPYA, KUTEMBELEA NDUGU NA MARAFIKI, KUFURAHI NA MAJIRANI NA KUSAIDIA WENYE UWEZO MDOGO ILI NAO WAWE NA FURAHA SIKU HIYO.
TAFADHALI TAFUTENI SIKU YENU MAALUMU KUSHEREHEKEA MAASI.
INSHAALLAH MWENYEZI MUNGU ATUPE MWONGOZO ILI TUSISHIRIKI KATIKA MAASI, NA AWAONGOE WALE WENYE NIA YA KUMWASI ILI NAO WARUDI KWAKE, AMIN
Mndengereko, Ukerewe
Dah hawa jamaa zangu NAWAPENDA LAKINI KITENDO CHA KUFANYA UZINDUZI SIKU YA EID NI DALILI YA KUANZA KUFULIA KWANI TAFSIRI YAKE NI KWAMBA HAWAWEZI TENA KUVUTIA WATU KWA NGUVU YAO WENYEWE MPAKA WASAIDIWE NA SIKU KUU KAMA EID. JAMANI TAFUTENI SIKU NYINGINE ILI TUWAPIME UWEZO WENU WA SASA NA SIYO KUTEGEA EID,
ReplyDelete