Rais wa Bendi ya FM Academia Nyoshi El- Saadat(katikati) akizungumzia uzinduzi wa Album yao ya sita(6) ijulikanayo kama "Vuta nikuvute". Uzinduzi huo umepangwa kufanyika siku ya Iddi Mosi katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. Wengine katika picha ni Meneja wa Bendi hiyo Mujib Khamis(kushoto) na Afisa Habari wa Idara ya Habari Zahra Majid. Picha Tiganya Vincent-MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mziki ...Idd, mmmh, haya...

    ReplyDelete
  2. NADHANI UMEFIKA WAKATI SASA HAYA MAMBO YA MAASI KATIKA SIKU TAKATIFU ZA KUMKUMBUKA MUMNGU YAKOME.
    IDI SI SIKU YA WASICHANA KUCHEZESHA MIILI YAKO KADAMNASI WANAPOISHEREHEKEA.
    KAMA MNAZINDUA HIYO ALBAMU YENU KWA NIA YA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA IDD, MWELEWE KUWA IDD HAISHEREHEKEWI KWA MAASI, HUSHEREHEKEWA KWA MEMA, KULA VIZURI, KUVAA NGUO MPYA, KUTEMBELEA NDUGU NA MARAFIKI, KUFURAHI NA MAJIRANI NA KUSAIDIA WENYE UWEZO MDOGO ILI NAO WAWE NA FURAHA SIKU HIYO.
    TAFADHALI TAFUTENI SIKU YENU MAALUMU KUSHEREHEKEA MAASI.
    INSHAALLAH MWENYEZI MUNGU ATUPE MWONGOZO ILI TUSISHIRIKI KATIKA MAASI, NA AWAONGOE WALE WENYE NIA YA KUMWASI ILI NAO WARUDI KWAKE, AMIN
    Mndengereko, Ukerewe

    ReplyDelete
  3. Dah hawa jamaa zangu NAWAPENDA LAKINI KITENDO CHA KUFANYA UZINDUZI SIKU YA EID NI DALILI YA KUANZA KUFULIA KWANI TAFSIRI YAKE NI KWAMBA HAWAWEZI TENA KUVUTIA WATU KWA NGUVU YAO WENYEWE MPAKA WASAIDIWE NA SIKU KUU KAMA EID. JAMANI TAFUTENI SIKU NYINGINE ILI TUWAPIME UWEZO WENU WA SASA NA SIYO KUTEGEA EID,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...