Mkurugenzi Mwendeshaji wa NDC,Gideon Nasari akisisiti za jambo wakati wa kikao hicho.
Mdau Neema Mbuja (shoto) akiwa pamoja na Afisa uhusiano NDC.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa NDC, John Aswile (kulia) akiwa na Mwanasheria wao, Joyce Maselle wakati wa mkutano huo.
baadhi ya wajumbe wa baraza wakiwa wanasikiliza mkutanoni

NDC SEMA TENA NDC HIVI HILI SHIRIKA MAMA BADO LIKO NA MBONA LIKO KIMYA JE LINAFANYA KAZI ZAKE KWA MAKUSUDIO YA MWALIMU NYERERE ALIVYO LIANZISHA AU NDIO NALO PAKUTAFUTIA PENSION.
ReplyDeleteVipi Masele, nakuona classmate wangu!! naona Michu kakusafisheni sura vilivyo. Fagiliaa. saaaaanaaa!!!!!!!!!
ReplyDeleteNkyabo - Bongo