Juu na chini ni wadau wa Jumuiya ya Watanzania huko Ugiriki wakifuturu kwa pamoja hivi karibuni.Kwa picha na habari zaidi tembelea:
www.tanzaniansingreece.com



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Safi sana wabongo wa ugiriki, hii nimeipenda sana. Hapo kuna picha za marehemu wazee wetu, Sheikh Karume na Mwalimu Nyerere, na katikati yao kuna bendera ya taifa lao walilolianzisha.
    Mimi ni Mdarisalama na mke wangu ni mzanzibari. Watoto wetu ukuwauliza wao ni nani, jibu lao wanasema kwamba wao ni waswahili.

    Udumu muungano wa Zanzibar na Tanganyika.

    ReplyDelete
  2. Ndio mac jay futari itakutambua baba ake.

    ReplyDelete
  3. mbona kama ni mwananyamala komakoma? Ugiriki kumechoka sana bora mrudi home

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...