Ankal na wapiga kura wake wa Masasi. Toka kulia aliokaa kavaa Kaki anaitwa MAURICE FRANCIS-Logistic Manager (Tokura Company), Uncle Michuzi, HABIB MBULLY-Sim Registration Regional Coordinator Mtwara/Lindi wa ZAIN), Engineer JIMMY WILBARD (INTER CONSULT) na John Mwakamisa (NBC Masasi Branch)
ankal na injinia Jimmy baada ya ofa ya mimaji kwa madai ati hana chenji
Nyambala John Mwakamisa wa NBC Masasi alijitahidi kiasi
Mdau wa ZAIN Habib Mbully akimpiga ankal stori ahame voda...



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Ankal!icho kidole kina maana gani?

    ReplyDelete
  2. Haki ya Mungu hapo itakuwa pale Stendi ya Masasi kuna kuku wa kuchoma kibao!!!

    ReplyDelete
  3. Muheshimiwa swaali kwa jamaa wa tokura, wtafika mangaka ? au fitna?
    na injinia jimmy naona mara ya mwisho alikuwa ibihwa dodoma naona mtu wa pembezoni tu!!

    ReplyDelete
  4. tunakujua akala wewe ni kada wa ccm tu. Ila elewa tukichukua nchi hizo safari zitapungua sana

    ReplyDelete
  5. Anko sorry hila nazani si kosa langu , nikosa la kuishi ulaya sana.
    Hivi kwa nini wabongo kunywa pombe si ishala ya kuwa na pesa. kwani watu wakipiga picha naona wana tambaza pole nini !!

    ReplyDelete
  6. Ankal, assalaam alleykum, mwambie Mbully asubiri sana manake kukung'oa kwa watani wa jadi itabidi watumie mataluma na makatapira! kama wakubwa wake wa kazi huku town (makutano ya morocco na bagamoyo) wameshindwa basi yeye kule Masasi afanye subira, bado upo upo sana!
    Libeneke oyee!!

    Mdau wa Mbeya

    ReplyDelete
  7. Ankal, assalaam alleykum, mwambie Mbully asubiri sana manake kukung'oa kwa watani wa jadi itabidi watumie mataluma na makatapira! kama wakubwa wake wa kazi huku town (makutano ya morocco na bagamoyo) wameshindwa basi yeye kule Masasi afanye subira, bado upo upo sana!
    Libeneke oyee!!

    Mdau wa Mbeya

    ReplyDelete
  8. Jimmiiii, wana FoE hatukuoni, kumbe uko maeneo ya samaki nchanga!
    Imma KG.

    ReplyDelete
  9. Buraza Michu kampeni za CCM zinakulipa sana ila hata hivyo ndio wajibu wenyewe huo maana lazma tulinde ugali,afu si nimekosea kucoment nimecoment kwa dogo nkajua wewe?

    ZAUNUNU-AMSTERDAM

    ReplyDelete
  10. NICE UMKC SHIRT THERE BUDDY!
    GO ROOS!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  11. Habari cho wani? nnongwereraaaaaaaaaaa Masasi oyeeeee ankal lete habari za mkuti, jidah, wapiwapi, lisekese, nyasa, mkomaindo, resti, uwanja wa fisi haaaaaa safi sana

    ReplyDelete
  12. Ankal huyo alovaa khaki sio wa CHADEMA??? Maana mie nikiona khaki tu najua wajeshi wa CHADEMA !!!

    Just kidding....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...