ITEM: TOYOTA SPACIO FOR SALE
DETAILS: VERY GOOD CONDITION,
LIME GREEN COLOR,
ENGINE 1580CC
PRICE: 8m/-
USED IN TANZANIA FROM DECEMBER 2007.
CONTACTS –
PHONE: 0772 116226
Email: fadiha.fadiha@yahoo.com



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Good Honest advert. Goodluck

    ReplyDelete
  2. Millioni nane kwa hii gari hupati coz watu wanaweza kuagizia na kuipata kwa hiyo 8. Nashauri uza kwa kati ya 6.5 mpaka 7. Otwz you cant get it out kwa 8m

    ReplyDelete
  3. Hivi hii Spacio ni M 8 au M 6.8?Mithupu labda umekosea,ila kwa haraka haraka hii gari kwenye showroom za kibongo haizidi 8.5M ieweje ununue miaka 3 iliyopita then uuze kwa bei hiyo hiyo ukijumlisha na matumizi mabovu ya miundombinu bongo,au ndo bongo tambarare?
    Mithupu bania hii na kuanzia sasa nakuwekea na jina langu kabisa nshachoka kujificha.

    ZAUNUNU-AMSTERDAM.

    ReplyDelete
  4. Ankali huyu zaununu si alishapigwa marufuku mitandaoni?huyu si aliharibu sehemu ya maoni ya freemedia wamiliki wa Tanzania daima na zeutamu na hata mwanzo ktk mijadala ya kisiasa ktk globu yako iweje umpe nafasi.

    ReplyDelete
  5. Millioni nane kwa hii gari isipopatikana itauzwa kwa 7, 6, 5, 4 n.k. taabu ni nini?

    ReplyDelete
  6. Huyu muuzaji ana akili sana, anawafahamu wabongo mmbongo ukimpa bei lazima ashuke na wewe. Ukisema bei ya juu atalia lia na ukisema bei yenyewe pia atalia lia. Gari inapendeza ukiitazama.

    ReplyDelete
  7. Nimelipenda gari tatizo sina uwezo kipesa kuendesha nafahamu, au nipitishe mchango??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...