Home
Unlabelled
CAR FOR SALE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Good Honest advert. Goodluck
ReplyDeleteMillioni nane kwa hii gari hupati coz watu wanaweza kuagizia na kuipata kwa hiyo 8. Nashauri uza kwa kati ya 6.5 mpaka 7. Otwz you cant get it out kwa 8m
ReplyDeleteHivi hii Spacio ni M 8 au M 6.8?Mithupu labda umekosea,ila kwa haraka haraka hii gari kwenye showroom za kibongo haizidi 8.5M ieweje ununue miaka 3 iliyopita then uuze kwa bei hiyo hiyo ukijumlisha na matumizi mabovu ya miundombinu bongo,au ndo bongo tambarare?
ReplyDeleteMithupu bania hii na kuanzia sasa nakuwekea na jina langu kabisa nshachoka kujificha.
ZAUNUNU-AMSTERDAM.
Ankali huyu zaununu si alishapigwa marufuku mitandaoni?huyu si aliharibu sehemu ya maoni ya freemedia wamiliki wa Tanzania daima na zeutamu na hata mwanzo ktk mijadala ya kisiasa ktk globu yako iweje umpe nafasi.
ReplyDeleteMillioni nane kwa hii gari isipopatikana itauzwa kwa 7, 6, 5, 4 n.k. taabu ni nini?
ReplyDeleteHuyu muuzaji ana akili sana, anawafahamu wabongo mmbongo ukimpa bei lazima ashuke na wewe. Ukisema bei ya juu atalia lia na ukisema bei yenyewe pia atalia lia. Gari inapendeza ukiitazama.
ReplyDeleteNimelipenda gari tatizo sina uwezo kipesa kuendesha nafahamu, au nipitishe mchango??
ReplyDelete