Mpendwa dada yetu. Leo umetimiza miaka 15 tangu ulipofariki tarehe 12/11/1995. Sisi wadogo zako (Tony, Ipyana, Ivan na Irene) pamoja na mama (Mrs. Esther Mwaipaja) bado tunakukumbuka sana kwa upendo wako.
Tulikupenda sana dada yetu lakini Mungu alikupenda zaidi ndio maana akakutwaa siku hiyo, mapenzi yake yatimizwe. Tunaomba Mwenyezi Mungu akupe raha ya milele na pumziko la amani - AMINA.
Rest in peace Sister…….
Anangara hata Mbinguni........
ReplyDeleteshe is/was cute Agness RIP!
I cant believe its been 15 years. Hatuwezi kukusahau
ReplyDeleteLulu M
Poleni sana ,it never gets old no matter how long..mungu ailaze roho ya dada yetu mahali pema peponi.
ReplyDeleteIvan pole mzee.
LJ
Departed but not forgotten. RIP.
ReplyDeleteAsanteni sana wote
ReplyDeleteIppy