Hayati Agness Mwaipaja


Mpendwa dada yetu. Leo umetimiza miaka 15 tangu ulipofariki tarehe 12/11/1995. Sisi wadogo zako (Tony, Ipyana, Ivan na Irene) pamoja na mama (Mrs. Esther Mwaipaja) bado tunakukumbuka sana kwa upendo wako.

Tulikupenda sana dada yetu lakini Mungu alikupenda zaidi ndio maana akakutwaa siku hiyo, mapenzi yake yatimizwe. Tunaomba Mwenyezi Mungu akupe raha ya milele na pumziko la amani - AMINA.
Rest in peace Sister…….

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Anangara hata Mbinguni........
    she is/was cute Agness RIP!

    ReplyDelete
  2. I cant believe its been 15 years. Hatuwezi kukusahau

    Lulu M

    ReplyDelete
  3. Poleni sana ,it never gets old no matter how long..mungu ailaze roho ya dada yetu mahali pema peponi.
    Ivan pole mzee.
    LJ

    ReplyDelete
  4. Departed but not forgotten. RIP.

    ReplyDelete
  5. Asanteni sana wote
    Ippy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...