Mfano wa jengo litakavyokuwa mara baada ya kumalizika.Kwa hiyo kwa mtakaohitaji kuwahi nafasi mapema,msisite kuwasiliana na kontakt hizo hapo chini.
Pichani ni jengo ambalo linapangishwa kwa ajili ya biashara,liko barabarani likiwa katika hatua za mwisho mwisho za ujenzi.

Nyumba ya kibiashara inapangishwa,iko eneo la Sinza Madukani,Barabara ya Shekilango,Block D plot no.30,iko jirani na maduka ya Royal Prince.Kwa mahitaja ya kibiashara zaidi,wasiliana na :0715 874257 au kwa Email:jordan889@btinternet.com.Floo za juu
Floo ya chini kabisa kama inavyoonekana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ungeweka na bei basi au inategemea na sqm....?????......kwa mwezi inaanzia kiasi gani??..mie nahitaji kwa January 2011.

    ReplyDelete
  2. 20Square Meter NI KIASI GANI?....nataka frame ya wastan tu ya kuuzia vitu vya used kwa kukisia kwa mwezi kiasi gani na nikiweka booking natakiwa nilipe kiasi gani kwanza...Na ni lini jengo litakuwa tayari...

    ReplyDelete
  3. ee bwana nimekubali taja bei tujipange kwa mwezi ni sh ngapi?natakaka nifungue ofisi yangu ya decoration nikija huko nyumbani mdau usa

    ReplyDelete
  4. mdau jordan889 umeulizwa maswali hayo hapo juu toka jana lakini hujajibu, huna majibu? au wewe si mtu wa masoko. tunaomba majibu ili tufanye malinganisho na other office space, foleni, parking na vitu kama hivyo

    ReplyDelete
  5. tungependa kufanya mawasilaino kwa njia ya simu au email kwani tungeweza kuwapa ufafanuzi zaidi kama unaweza tutumie email au tupigie simu kwa mawasiliano zaidi

    ReplyDelete
  6. WALA MSIHANGAIKE HUYU JAMAA HAYUKO SERIOS SIMU HAZIPOKELEWI MAIL HAJIBU..NA HATA MASWALI HAPA KWA MICHUZI HAJABU...ANACHEZEA AKILI ZA WATU..MICHUZI WATU WENGINE WAAMBIE HAPA SI MAHALI PA MCHEZO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...