

Nyumba ya kibiashara inapangishwa,iko eneo la Sinza Madukani,Barabara ya Shekilango,Block D plot no.30,iko jirani na maduka ya Royal Prince.Kwa mahitaja ya kibiashara zaidi,wasiliana na :0715 874257 au kwa Email:jordan889@btinternet.com.

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ungeweka na bei basi au inategemea na sqm....?????......kwa mwezi inaanzia kiasi gani??..mie nahitaji kwa January 2011.
ReplyDelete20Square Meter NI KIASI GANI?....nataka frame ya wastan tu ya kuuzia vitu vya used kwa kukisia kwa mwezi kiasi gani na nikiweka booking natakiwa nilipe kiasi gani kwanza...Na ni lini jengo litakuwa tayari...
ReplyDeleteee bwana nimekubali taja bei tujipange kwa mwezi ni sh ngapi?natakaka nifungue ofisi yangu ya decoration nikija huko nyumbani mdau usa
ReplyDeletemdau jordan889 umeulizwa maswali hayo hapo juu toka jana lakini hujajibu, huna majibu? au wewe si mtu wa masoko. tunaomba majibu ili tufanye malinganisho na other office space, foleni, parking na vitu kama hivyo
ReplyDeletetungependa kufanya mawasilaino kwa njia ya simu au email kwani tungeweza kuwapa ufafanuzi zaidi kama unaweza tutumie email au tupigie simu kwa mawasiliano zaidi
ReplyDeleteWALA MSIHANGAIKE HUYU JAMAA HAYUKO SERIOS SIMU HAZIPOKELEWI MAIL HAJIBU..NA HATA MASWALI HAPA KWA MICHUZI HAJABU...ANACHEZEA AKILI ZA WATU..MICHUZI WATU WENGINE WAAMBIE HAPA SI MAHALI PA MCHEZO.
ReplyDelete