kaka michuzi naomba uwatundikie hii wadau waone
jinsi nyaya za umeme kwa wenzetu India zilivyo at least sie tunaafadhali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hii kaka Ni Karol Berg?

    ReplyDelete
  2. Umasikini ni kila pahala. Hapa UK magari mengi yanatembea chongo, mengine yamegongwa lakini wenyewe hawatangenezi. Mambo ni yale yale tu, masikini wote akili kichwani.

    ReplyDelete
  3. Mwanza kunaelekea huko kila kampuni ya cable tv na isp wanavuta wanavyojua

    ReplyDelete
  4. Hata kama nyya za dunia nzima hazijapangwa vizuri, Watanzania ni lazima tujutahidi ztu ziwe nzuri zaidi, hii tabia ya kujilinganisha na the lowest low haitusaidii kitu. Kama tumeona kuna kasoro kwetu turekebishe. What foreign currency do you need to untangle these cables? Somebody work on this, it can also be a source of employment.

    ReplyDelete
  5. Igeni mazuri waliyonayo!!!mbona hamsemi maafisa wenu wa ardhi 2008 walienda Andrha Pradesh- India kujifunza upimaji na umilikishaji ardhi bila migogoro lakini hadi leo hii hawajafanya lolote hapo nyumbani!!!

    ReplyDelete
  6. hapa kwetu nyaya zime wekwa wizuri

    lakini umeme hatuna unaoje?

    ReplyDelete
  7. kulinganisha afya yako huwezi kwenda hospitalini, sana sana unaenda kwenye viwanja vya michezo.

    tundikeni picha za maana humu blogini, achana na wafu wawazike wenzao!!

    Tunasubiri ahadi ya flayover, can anyone post splendid high flayovers in the world??

    ...and also longest tunnels?? because tunnel is the perfect solution for our Serengeti controversal road!!

    Yes, sisemu we can!!

    ReplyDelete
  8. Hii sehemu ina wezi sana . Wezi wabongo cha mtoto !!

    ReplyDelete
  9. mbona hamjapost kuwa India ndo wana fly over ndefu kuliko nchi zote za Asia.Igeni mazuri na muache mambo ya unafiki na uzandiki.

    ReplyDelete
  10. Huo sio mfano wa kuonyeshwa, ukitaka maendeleo mwangalie aliye mbele yako, siye aliye nyuma yako, kuonyesha hizo nyaya ndo kutetea hali ya nyanya bongo kuzagaa ama?? hatukubaliani nayo kwani india kitu gani kuna mpaka baraba huwa zinafungwa watu walale sio, sio mfano wa kujifariji kwetu na kuendelea kubweteka na urekebishaji wa miondo mbinu. kababu22@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...