Home
Unlabelled
onea buji, gombe gopa eeee...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii kaka Ni Karol Berg?
ReplyDeleteUmasikini ni kila pahala. Hapa UK magari mengi yanatembea chongo, mengine yamegongwa lakini wenyewe hawatangenezi. Mambo ni yale yale tu, masikini wote akili kichwani.
ReplyDeleteMwanza kunaelekea huko kila kampuni ya cable tv na isp wanavuta wanavyojua
ReplyDeleteHata kama nyya za dunia nzima hazijapangwa vizuri, Watanzania ni lazima tujutahidi ztu ziwe nzuri zaidi, hii tabia ya kujilinganisha na the lowest low haitusaidii kitu. Kama tumeona kuna kasoro kwetu turekebishe. What foreign currency do you need to untangle these cables? Somebody work on this, it can also be a source of employment.
ReplyDeleteIgeni mazuri waliyonayo!!!mbona hamsemi maafisa wenu wa ardhi 2008 walienda Andrha Pradesh- India kujifunza upimaji na umilikishaji ardhi bila migogoro lakini hadi leo hii hawajafanya lolote hapo nyumbani!!!
ReplyDeletehapa kwetu nyaya zime wekwa wizuri
ReplyDeletelakini umeme hatuna unaoje?
kulinganisha afya yako huwezi kwenda hospitalini, sana sana unaenda kwenye viwanja vya michezo.
ReplyDeletetundikeni picha za maana humu blogini, achana na wafu wawazike wenzao!!
Tunasubiri ahadi ya flayover, can anyone post splendid high flayovers in the world??
...and also longest tunnels?? because tunnel is the perfect solution for our Serengeti controversal road!!
Yes, sisemu we can!!
Hii sehemu ina wezi sana . Wezi wabongo cha mtoto !!
ReplyDeletembona hamjapost kuwa India ndo wana fly over ndefu kuliko nchi zote za Asia.Igeni mazuri na muache mambo ya unafiki na uzandiki.
ReplyDeleteHuo sio mfano wa kuonyeshwa, ukitaka maendeleo mwangalie aliye mbele yako, siye aliye nyuma yako, kuonyesha hizo nyaya ndo kutetea hali ya nyanya bongo kuzagaa ama?? hatukubaliani nayo kwani india kitu gani kuna mpaka baraba huwa zinafungwa watu walale sio, sio mfano wa kujifariji kwetu na kuendelea kubweteka na urekebishaji wa miondo mbinu. kababu22@yahoo.com
ReplyDelete