Home
Unlabelled
Mhe. Anna Makinda atembelea ujenzi wa makazi ya Spika mjini Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii kweli ilikuwa ya mzee wa speed na standards. Pole hataweza kupakaa. Aalikwe lunch!
ReplyDeleteNatumaini hatutaambiwa zimetumika Bil 2 kwa ujenzi kama zile za BOT. Hivi hizi swimming pool hujengwa kwa ajili ya nani? Mama Makinda anajua kuogelea? Je Benno Ndulu? na kwa umri wao, hata watoto wao wanastahili kuwa walishaondoka nyumbani na kwenda kujitegemea!
ReplyDeleteswimming pool imejengwa kwa ajili ya wageni kama siku ANKO MICHUZI akienda kumtembelea anajivinjari hapo.
ReplyDeletewasanii wa ze comedy na bi. kidude wakimtembelea madame spika wataogelea japo kidogo kupunguza jasho la dsm na zenji
ReplyDeleteUCHUMI NDIO HUO ,
ReplyDeleteMkumbusheni spika avae kofia asije kudondokewa na kitu.
ReplyDeletemheshimiwa spika usalama kwanza kuliko kujali nywele...Head Gear for your safety.
ReplyDeleteJe spika wa zamani alikua hana nyumba ya kuishi?
ReplyDeleteinaelekea kina mama wanapenda sana unywele akivaa kofia inabidi arudi tena saloon
ReplyDelete