Home
Unlabelled
President Kikwete speaks in Brussels
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
big up JK uko juu kimataifa
ReplyDeletemkuu chanja mbuga, oh anatumia muda mwingi nje oh, chanja mkuu usijari
ReplyDeleteHuu mkutano unafaa sana hasa wakati huu wa ugao wa umeme, labda mawazo toka mkutano wa '' mobilising energy for sustainable development'' utasaidia dira mpya ya kupata vyanzo vya umeme wa kila aina.
ReplyDeletePhoto by Freddy Maro of "Ikulu" hahahaha and not "whitehouse"
ReplyDeleteAHA HA HA HA HA HA Hii blog inaniacha hoi. Hapa alikuwa anaongelea alivyoshinda kwa kishindo uchaguzi mkuu. Mie mbina niko hapa?
ReplyDeletehivi hiki kifua mzee huwa ni zana ama ndo maumbile?
ReplyDeletekifua hicho mdau ni zana za kujikinga, huwezi kukaa hivi hivi, ndo maana unaona kimetuna. hebu fuatialia alivyokuwa preda aliyepita kifua chake na sasa hivi akivaa suti, tofauti
ReplyDeleteHon.Kikwete,
ReplyDeleteCongratulation for a very energised,forward thinking and inviting speech to the International community. You have undoubtedly brought the World into Tanzania.
MAINA ANG'IELA OWINO
UK.