President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete delivers his keynote adress during the High Level Panel on "The energy Evolution:mobilising energy for Sustainable Development", during the European Development Days meeting in Brussels, Belgium, today. Photo by Freddy Maro of Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. big up JK uko juu kimataifa

    ReplyDelete
  2. mkuu chanja mbuga, oh anatumia muda mwingi nje oh, chanja mkuu usijari

    ReplyDelete
  3. Huu mkutano unafaa sana hasa wakati huu wa ugao wa umeme, labda mawazo toka mkutano wa '' mobilising energy for sustainable development'' utasaidia dira mpya ya kupata vyanzo vya umeme wa kila aina.

    ReplyDelete
  4. Photo by Freddy Maro of "Ikulu" hahahaha and not "whitehouse"

    ReplyDelete
  5. AHA HA HA HA HA HA Hii blog inaniacha hoi. Hapa alikuwa anaongelea alivyoshinda kwa kishindo uchaguzi mkuu. Mie mbina niko hapa?

    ReplyDelete
  6. hivi hiki kifua mzee huwa ni zana ama ndo maumbile?

    ReplyDelete
  7. kifua hicho mdau ni zana za kujikinga, huwezi kukaa hivi hivi, ndo maana unaona kimetuna. hebu fuatialia alivyokuwa preda aliyepita kifua chake na sasa hivi akivaa suti, tofauti

    ReplyDelete
  8. Hon.Kikwete,
    Congratulation for a very energised,forward thinking and inviting speech to the International community. You have undoubtedly brought the World into Tanzania.

    MAINA ANG'IELA OWINO
    UK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...