BI DIANA LUMELEZI NA BINTIYE SAMIRA SAIDI BAAMARY, BINTI WA MAREHEMU SAIDI BAAMARY ALIYEFARIKI KWA AJALI DAR ES SALAAM DESEMBA 11, 2010 BAADA YA KUHUDHURIA HAFLA YA KUWAKUMBUKA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI ILIYOFANYIKA LEADERS CLUB.
KWA NIABA YA FAMILIA YA MAREHEMU WANAENDELEA KUTOA SHUKRANI NYINGI KWA WOTE WALIOSAIDIA KWA HALI NA MALI KUHITMISHA MAZISHI YA MPENDWA WAO BABA YAKE SAMIRA NA MZAZI MWENZIE DIANA. HAWANA CHA KUWALIPA ZAIDI YA KUMWOMBA MOLA AWAZIDISHIE IMANI NA UPENDO NA KUWAAFU KATIKA YOTE MNAYOFANYA.
BI DIANA LUMELEZI NA SAMIRA SAIDI BAAMARY WANAKARIBISHA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KWENYE
AROBAINI YA MAREHEMU SAIDI BAAMARY ITAYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA
EL HILAL KISUTU, JIJINI DAR ES SALAAM, SAA SABA MCHANA.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU:
+255 715 193 339
MOLA AIWEKE ROHO YA
MAREHEMU PAHALA PEMA PEPONI
-AMIN
KWA KUMBUKUMBU BOFYA HAPA

Jamani saa nyingine andikeni vizuri. Hapo juu mimi sijaelewa vizuri nani ni marehemu kati ya Baba na binti yake. Mmeweka marehemu nyinginyingi.
ReplyDelete