Ankal,
Hebu angalia hii picha askari wa Traffic wamedodosha serikali
chinin(kofia) wanapambana na dereva mkorofi.
By Mdau King, Mwanza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. DUH KWELI HII NDO BONGO ORIGINAL ,WAKATI UNAPOFIKA MWENYE MALI NA HUWEZO WAMESHACHUKUA CHAO - MASIKINI NDO WANABAKI KUTOLEANA ASIRA WENYEWE KWA WENYEWE .BINADAMU NI WANYAMA NA MNYAMA UKIWAACHA NA NJAA WANAKUWA WAKALI NA WANAWEZA HATA KUUANA WENYEWE KWA WENYEWE , AU KUKUSANYANA NA KUVAMIA MIJINI NA KU ATTACK RAIA . THAT IS WHAT WILL HAPPEN IN TANZANIA IF THOSE MAFISADI WASIPO JALI WANANCHI WAO.
    MDAU PARIS

    ReplyDelete
  2. kaz kwel kwel

    ReplyDelete
  3. Hivi jamani ni kwa nini traffic wa tanzania wanavaa nguo nyeupeeee?? badilisheni mvae blue rangi mojawapo ya kwenye bendera ya taifa, ila msivae kijani hao askari wanoko wa jiji ndo rangi yao na wale kina ras makunja ffu wamewahi , hiyo nyeupe mnaonekana kama malaika wakati hamko hivyo hata punje, tunaomba wakuu wa nji muwabadilishie matrafiki vivazi na wapewe bluu ambayo itawasaidia zaidi katika ufanisi wa kazi , zaidi hasa wakati joto linavyozidi watu wanatoka majasho yanaonekana kwenye nguop kirahisi mno aibu tupu, wahusika tunomba sana muwpatia maaskari wetu mavazi nadhifu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...