Home
Unlabelled
uwajibikaji uliotukuka Rock City
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DUH KWELI HII NDO BONGO ORIGINAL ,WAKATI UNAPOFIKA MWENYE MALI NA HUWEZO WAMESHACHUKUA CHAO - MASIKINI NDO WANABAKI KUTOLEANA ASIRA WENYEWE KWA WENYEWE .BINADAMU NI WANYAMA NA MNYAMA UKIWAACHA NA NJAA WANAKUWA WAKALI NA WANAWEZA HATA KUUANA WENYEWE KWA WENYEWE , AU KUKUSANYANA NA KUVAMIA MIJINI NA KU ATTACK RAIA . THAT IS WHAT WILL HAPPEN IN TANZANIA IF THOSE MAFISADI WASIPO JALI WANANCHI WAO.
ReplyDeleteMDAU PARIS
kaz kwel kwel
ReplyDeleteHivi jamani ni kwa nini traffic wa tanzania wanavaa nguo nyeupeeee?? badilisheni mvae blue rangi mojawapo ya kwenye bendera ya taifa, ila msivae kijani hao askari wanoko wa jiji ndo rangi yao na wale kina ras makunja ffu wamewahi , hiyo nyeupe mnaonekana kama malaika wakati hamko hivyo hata punje, tunaomba wakuu wa nji muwabadilishie matrafiki vivazi na wapewe bluu ambayo itawasaidia zaidi katika ufanisi wa kazi , zaidi hasa wakati joto linavyozidi watu wanatoka majasho yanaonekana kwenye nguop kirahisi mno aibu tupu, wahusika tunomba sana muwpatia maaskari wetu mavazi nadhifu
ReplyDelete