Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Nguzo ya English Medium , Mkoani Morogoro , Vailet Manfred ( kulia) akifafanua jambo juu ya uelewa wake wa somo la Kompyuta linalofundishwa shuleni hapo ( anaye fuatia ) ni mwanafunzi mwenzake Mariam Salim , huku wakisikilizwa kwa makini na Mkuu wa Shule hiyo, Tahiya Mohamed ( nyuma na mwanafunzi ) na kushoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One, Hamis Liana .
Mwalimu Sweety Kabate ( kushoto) wa somo la Kompyuta katika shule ya Msingi ya Nguzo ya English Medium , akiwaelekeza wanafunzi wake , Mariam Salim na Voilet Manfred , kuwasha Kompyuta , juzi shuleni hapo , baada ya kupokea msaada wa Kompyuta nano kutoka Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One ya Mjini hapa. Picha zote na John Nditi wa Globu ya Jamii

Morogoro hatujalala.. Big up Nguzo
ReplyDeleteWerawera ma primary school i mic it
ReplyDelete