Home
Unlabelled
NOTI MPYA ZINA UBORA NA VIWANGO VINAVYOKUBALIKA KIMATAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Noti kutoa rangisi alama ya usalama, na kama ni alama ya usalama je! hiyo rangi inavyotoka si pesa inazidi kupauka na kuchuja!?. Ubora ni upi hapo!?. Tunaanza kudanganyana kama watoto wadogo.
ReplyDeletehahaha....waosha vinywa muipate hyo
ReplyDeleteteheeeeeeeeee ukisugua noti ikatoka rangi ndo alama ya usalama? hee makubwa... ngoja nikasugue dola nijioneee... au kiwango hichi cha ubora kipo tanzania tuu? dah jamani kamba zingine...
ReplyDeleteukiangalia hata karatasi iliyotumika duh poor quality... wale wa ten percent mpoo? chukua chako mapema usawa mbovu huu!
huu n huni yan noti itoe ranh ndo ina ubora skweli.
ReplyDelete