Naomba kwa yeyote mwenye kumfahamu mmiliki wa copyright ya Chakubanga aniandikie kwa kupitia -mail hii bonn-j@hotmail.com.
Nia yangu ni ya kutengeneza animation itakayo tukumbusha chechekesho na vituko vya mzee mwenyewe chakubanga.
Natanguliza shukurani zangu. kutukumbusha vichekesho vya chakubanga kwa kutumia animation video.
mdau
Dr. Boniface Mhella.
Nia yangu ni ya kutengeneza animation itakayo tukumbusha chechekesho na vituko vya mzee mwenyewe chakubanga.
Natanguliza shukurani zangu. kutukumbusha vichekesho vya chakubanga kwa kutumia animation video.
mdau
Dr. Boniface Mhella.


Sijapenda Polo anavyotembea na Cartoon hii wanavyoongea. warekebishe kidogo Chakubanga akirudi iwe ni vichekesho kama alivyokuwa akifanya vya kuelimisha Jamii. msiiharibu Chakubanga kwa njia zengine.
ReplyDeleteMtoa maoni wa kwanza amesema ukweli.
ReplyDeleteTunashukuru jitihada msaani alizoonyesha katika kujifunza kutengeneza katuni, na lengo lake jema la kurudisha Chakubanga.
Lakini kuna hatari ya kuharibu maana nzima ya Chakubanga iwapo atashindwa kuwakilisha maana sahihi kama ambavyo Chakubanga halisi alifanya.
Hii inaweza kusababishwa na uwakilishaji mbaya wa picha. Mfano, katuni za msanii bado inaonekana ziko kwenye hatua ya matengenezo, yaani si 'product' ambayo inaweza kutumika katika kuburudisha. Bado katuni ziko 'rough' kwenye 'kingo' na hazina mvuto.
Ushauri wangu kwa Msanii ni kujifunza zaidi jinsi ya kutengeneza katuni, ziwe bora, ziwe 'smooth' na ziwe na raha kuangalia. Hizi zinaumiza macho na zinaweza kuogopesha watu.
Good job....KEEP IT UP Bonny
ReplyDeleteKama kawaida ya baadhi ya Watanzania. Hapa anatafutwa mwenye haki miliki. Sasa wengine wanaanza kuzungumzia vitu vingine kama vile wao ndo wenye haki miliki. K
ReplyDeleteumbukeni:
Pessimism is the father of backward resilience
Hongera kwa mtunzi wa wazo hili... Watanzania lazima watambue 'OLD IS GOLD'. Na wasanii wa kizazi kipya wahamasishwe kwenye hilo.
Keep it up Dr. Boniface!
Mimi namkumbuka Bushiri sijui kaishia wapi?
ReplyDeletepse pse cha msingi ni kupata animation muuuch better than this one. mhariri usione ubahili ku spend for quality wrk
ReplyDeleteGood job Bonny,
ReplyDeleteAbout your work I want to say its a good start, you need to make it smoother though as someone already mentioned so that it can be easy to follow and thus enjoyable.
I love the idea of bringing Chakubanga back, there are a lot of good artist that deserves to be brought back through the current media fashion. Again good idea.
Fore more details about Chakubanga please just google "Chakubanga", one of the link that will come include http://mwanasimba.online.fr/E_chaku_cadre.htm
I would suggest to incorporate a lot of old content because its what made him big.
Otherwise all the best!!!
Cheers
Kwanza nakupa hongera sana ndugu yangu kwa kutambua hilo kwani wengi hawajui. Ushauri wangu nenda temeke hospital kitengo cha TB muulizie dada ANNA GREGORY (MRS GREEN) yeye ni mtoto wa marehemu mzee GREGORY ambae alikuwa anamiliki hizo katuni za chakubanga kwao ni temeke kota nyumba zao zinatizama mtaa wa mkuranga ule ambao ipo bar moja maarufu inayoitwa pile bar
ReplyDeleteWako. James Biboze
Idea ni nzuri ila nashauri mchoraji angeanza tu kwanza na 2-D pictures. Hii kwanza ita-draw attention kubwa kwa watu kupata uhalisia wa Chakubanga. Baada ya muda ndio aanze ku-design 3-D.Pamoja na kwamba 3-D ni technology ya kisasa zaidi lakini hapa tunatafuta uhalisia zaidi kuleta mvuto. Hata Tom & Gerry ukiwaweka kwenye 3-D utaharibu ladha ya kikatuni. Nadhani umenipata.! Thx
ReplyDeletemmiliki wa chakuba alikufa.
ReplyDelete