Naomba kwa yeyote mwenye kumfahamu mmiliki wa copyright ya Chakubanga aniandikie kwa kupitia -mail hii bonn-j@hotmail.com.

Nia yangu ni ya kutengeneza animation itakayo tukumbusha chechekesho na vituko vya mzee mwenyewe chakubanga.

Natanguliza shukurani zangu. kutukumbusha vichekesho vya chakubanga kwa kutumia animation video.

mdau
Dr. Boniface Mhella.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2011

    Sijapenda Polo anavyotembea na Cartoon hii wanavyoongea. warekebishe kidogo Chakubanga akirudi iwe ni vichekesho kama alivyokuwa akifanya vya kuelimisha Jamii. msiiharibu Chakubanga kwa njia zengine.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2011

    Mtoa maoni wa kwanza amesema ukweli.
    Tunashukuru jitihada msaani alizoonyesha katika kujifunza kutengeneza katuni, na lengo lake jema la kurudisha Chakubanga.
    Lakini kuna hatari ya kuharibu maana nzima ya Chakubanga iwapo atashindwa kuwakilisha maana sahihi kama ambavyo Chakubanga halisi alifanya.
    Hii inaweza kusababishwa na uwakilishaji mbaya wa picha. Mfano, katuni za msanii bado inaonekana ziko kwenye hatua ya matengenezo, yaani si 'product' ambayo inaweza kutumika katika kuburudisha. Bado katuni ziko 'rough' kwenye 'kingo' na hazina mvuto.
    Ushauri wangu kwa Msanii ni kujifunza zaidi jinsi ya kutengeneza katuni, ziwe bora, ziwe 'smooth' na ziwe na raha kuangalia. Hizi zinaumiza macho na zinaweza kuogopesha watu.

    ReplyDelete
  3. Good job....KEEP IT UP Bonny

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2011

    Kama kawaida ya baadhi ya Watanzania. Hapa anatafutwa mwenye haki miliki. Sasa wengine wanaanza kuzungumzia vitu vingine kama vile wao ndo wenye haki miliki. K
    umbukeni:

    Pessimism is the father of backward resilience

    Hongera kwa mtunzi wa wazo hili... Watanzania lazima watambue 'OLD IS GOLD'. Na wasanii wa kizazi kipya wahamasishwe kwenye hilo.
    Keep it up Dr. Boniface!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2011

    Mimi namkumbuka Bushiri sijui kaishia wapi?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2011

    pse pse cha msingi ni kupata animation muuuch better than this one. mhariri usione ubahili ku spend for quality wrk

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 12, 2011

    Good job Bonny,

    About your work I want to say its a good start, you need to make it smoother though as someone already mentioned so that it can be easy to follow and thus enjoyable.

    I love the idea of bringing Chakubanga back, there are a lot of good artist that deserves to be brought back through the current media fashion. Again good idea.

    Fore more details about Chakubanga please just google "Chakubanga", one of the link that will come include http://mwanasimba.online.fr/E_chaku_cadre.htm

    I would suggest to incorporate a lot of old content because its what made him big.

    Otherwise all the best!!!

    Cheers

    ReplyDelete
  8. Kwanza nakupa hongera sana ndugu yangu kwa kutambua hilo kwani wengi hawajui. Ushauri wangu nenda temeke hospital kitengo cha TB muulizie dada ANNA GREGORY (MRS GREEN) yeye ni mtoto wa marehemu mzee GREGORY ambae alikuwa anamiliki hizo katuni za chakubanga kwao ni temeke kota nyumba zao zinatizama mtaa wa mkuranga ule ambao ipo bar moja maarufu inayoitwa pile bar
    Wako. James Biboze

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 12, 2011

    Idea ni nzuri ila nashauri mchoraji angeanza tu kwanza na 2-D pictures. Hii kwanza ita-draw attention kubwa kwa watu kupata uhalisia wa Chakubanga. Baada ya muda ndio aanze ku-design 3-D.Pamoja na kwamba 3-D ni technology ya kisasa zaidi lakini hapa tunatafuta uhalisia zaidi kuleta mvuto. Hata Tom & Gerry ukiwaweka kwenye 3-D utaharibu ladha ya kikatuni. Nadhani umenipata.! Thx

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 15, 2011

    mmiliki wa chakuba alikufa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...