Viongozi wapya   John Butondo--Mwenyekiti (shoto) ovin Peter Suku Katibu (kati)  na  Da Fadya Wathne ambaye aendela kuwa Mweka hazina wa Jumuiya hiyo
 Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya Felix Mgonja (kati) akiwa na Da Fadya mweka hazina (lulia) na katibu mstaafu Fortunatus Bundu
 Juu na chini ni Balozi mpya Sweden na Scandinavia Mh. Mohammed Mzale akiwa na baadhi ya Watanzania  waishio Denmark baada ya kukutana nao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2011

    Mbona mmeambizana wenyewe kwa wenyewe? na watanzania wapo wengi sana nchini denmark. wacheni ubaguzi umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...