Home
Unlabelled
mashabiki wa yanga na simba: nani zaidi katika ushangiliaji??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mimi simba lakini du! yanga mko juu
ReplyDeletePicha hizi zimepigwa na kuwekwa hapa kinazi.... Ni wazi kabisa kuwa picha ya Yanga imepigwa wakati nadhani Yanga wamefunga goli wakati ile ya Simba ni dhahiri ilipigwa labda wakati timu ziko mapumziko au Simba imefungwa goli! Si rahisi kusema nani ni zaidi kwa kuangalia picha ambazo hatujui zilipigwa wakati gani! Acha unazi!
ReplyDeleteNadhani picha zinajionesha. Yanga daima
ReplyDeleteINAONESHA JAMAA ALIVYOWABEBA AKILI KWA NAMNA ALIVYOIWEKA PICHA TU, SABABU WATU WANA HUKUMU HII PICHA YA SIMBA NA YANGA TEHTEHTEH. SIMBA TUKIANZA KUHESABU ZILE ANTHEM ZAKE YANGA HAKAMATI EEEEH KIDEDEAAAAAAAA AU ENZI ZA WAKIIITA SIMBA SHIKAMOO SIMBA WANAITIKA MARAHABAAAAAA. WENGINE MTAMALIZIA SIMBA KONA BAOOOOOOOOOOOOOO. SABABU YANGA NI TIMU YA WABISHI VIJIWENI HAWANA WAJUALO KWAHILO WATASHINDA. SIMBA OYE.
ReplyDeleteInaonyesha wewe uliyeweka hizi picha ni mshabiki wa yanga kwani ni kweli umechgua picha wakati yanga wamepata goli na simba wakati wamefungwa goli!Huuu hii ni kesi ya mwewe!sio uungwana huwo mimi ni mshabiki wa Simba damu pamoja kuwa umewabania picha ya gili SIMBA wako juu,,,Ingawa sasa sijui sasa hivi wanaendeleaje!Ahlam UK
ReplyDeletealiyeweka picha ni mnazi mkubwa wa Yanga aka yeboyebo aka kandambili.hizi picha zimepigwa siku moja lakini ni dhahiri ilikuwa ni mechi ya yanga ndiyo maana unaona mapengo kwenye jukwaa la Simba .tafuta siku Simba inacheza na upige tena picha mbili.moja upande wa Taifa Kubwa na nyingine piga upande wa kandambili halafu tutakupa jibu sahihi.mm ni Yanga lakini simba wanjua kushangilia sana.Hasa nyimbo zao.eeeh eeeh eeeh Taifa Kubwaaaa.
ReplyDeleteNdio maana mungu akaumba wanawake na wanaume! pamoja na kuwa wote wana haki ya kuishi katika dunia yake mungu Mwenyewe amesema mwanaume ndio mkuu. kwa sababu hiyo picha inajionyesha wazi kuwa Yanga wako juu na wanaipenda Timu yao na ndio wakuu katika soka hapa nchini. pamoja na kuipenda Timu yao Yanga ni wastaarabu sana, we angalia Picha Mijitu ya Simba imekanyaga viti. hata matumizi ya viti pia wanataka semina elekezi?! kuwezi wastaarabu. kama hamuwezi basi msije mpirani Yanga tunauwezo wa kujaza Uwanja wenyewe! Hata hivyo wamejazana kwenye viti vya juu vya kijani. si unajua walivyo wabahili?!kupenda vitu vya bure na rahisi.
ReplyDeleteYanga Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Unauliza MAKOFI police? Ni SIMBA bana
ReplyDelete