Yanga Umoja wa Mataifa


Simba Taifa Kubwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2011

    mimi simba lakini du! yanga mko juu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2011

    Picha hizi zimepigwa na kuwekwa hapa kinazi.... Ni wazi kabisa kuwa picha ya Yanga imepigwa wakati nadhani Yanga wamefunga goli wakati ile ya Simba ni dhahiri ilipigwa labda wakati timu ziko mapumziko au Simba imefungwa goli! Si rahisi kusema nani ni zaidi kwa kuangalia picha ambazo hatujui zilipigwa wakati gani! Acha unazi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2011

    Nadhani picha zinajionesha. Yanga daima

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2011

    INAONESHA JAMAA ALIVYOWABEBA AKILI KWA NAMNA ALIVYOIWEKA PICHA TU, SABABU WATU WANA HUKUMU HII PICHA YA SIMBA NA YANGA TEHTEHTEH. SIMBA TUKIANZA KUHESABU ZILE ANTHEM ZAKE YANGA HAKAMATI EEEEH KIDEDEAAAAAAAA AU ENZI ZA WAKIIITA SIMBA SHIKAMOO SIMBA WANAITIKA MARAHABAAAAAA. WENGINE MTAMALIZIA SIMBA KONA BAOOOOOOOOOOOOOO. SABABU YANGA NI TIMU YA WABISHI VIJIWENI HAWANA WAJUALO KWAHILO WATASHINDA. SIMBA OYE.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2011

    Inaonyesha wewe uliyeweka hizi picha ni mshabiki wa yanga kwani ni kweli umechgua picha wakati yanga wamepata goli na simba wakati wamefungwa goli!Huuu hii ni kesi ya mwewe!sio uungwana huwo mimi ni mshabiki wa Simba damu pamoja kuwa umewabania picha ya gili SIMBA wako juu,,,Ingawa sasa sijui sasa hivi wanaendeleaje!Ahlam UK

    ReplyDelete
  6. aliyeweka picha ni mnazi mkubwa wa Yanga aka yeboyebo aka kandambili.hizi picha zimepigwa siku moja lakini ni dhahiri ilikuwa ni mechi ya yanga ndiyo maana unaona mapengo kwenye jukwaa la Simba .tafuta siku Simba inacheza na upige tena picha mbili.moja upande wa Taifa Kubwa na nyingine piga upande wa kandambili halafu tutakupa jibu sahihi.mm ni Yanga lakini simba wanjua kushangilia sana.Hasa nyimbo zao.eeeh eeeh eeeh Taifa Kubwaaaa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 28, 2011

    Ndio maana mungu akaumba wanawake na wanaume! pamoja na kuwa wote wana haki ya kuishi katika dunia yake mungu Mwenyewe amesema mwanaume ndio mkuu. kwa sababu hiyo picha inajionyesha wazi kuwa Yanga wako juu na wanaipenda Timu yao na ndio wakuu katika soka hapa nchini. pamoja na kuipenda Timu yao Yanga ni wastaarabu sana, we angalia Picha Mijitu ya Simba imekanyaga viti. hata matumizi ya viti pia wanataka semina elekezi?! kuwezi wastaarabu. kama hamuwezi basi msije mpirani Yanga tunauwezo wa kujaza Uwanja wenyewe! Hata hivyo wamejazana kwenye viti vya juu vya kijani. si unajua walivyo wabahili?!kupenda vitu vya bure na rahisi.
    Yanga Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 28, 2011

    Unauliza MAKOFI police? Ni SIMBA bana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...