Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu.
Dar es salaam.
22 Julai, 2011

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2011

    Duuuuu, Ikulu ina email ya yahoo!!! kazi kwelkweli

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2011

    Nadhani "Mwandishi msaidizi wa Habari wa Raisi" ni sahihi zaidi.

    ReplyDelete
  3. nshimimana aka dumisaneJuly 23, 2011

    hongera bwana Maswi, basi tuendelee kusukuma gurudumu la maendeleo.

    - - -
    buffalo,
    new york

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2011

    Jamani hivi kweli muhusika mkuu wa hii kashfa ni Jairo au yeye ni kondoo wa kafara tu?Maana haiingii akilini ukiniambia kuwa Waziri na naibu wake hawakushiriki katika hili.Tena mimi nadhani haka kamekuwa ka utaratibu ka wizara zote pindi wanapokuwa pagumu,ni jumba bovu limemuangukia huyu tu this time!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 23, 2011

    waziri na naibu wake na mtunza hazina pia wote jamani waachie ngazi,uko wapi mh.rais hawa watu hawaitajika katika wizara hii wanadidimiza maendeleo ya mtanzania,tusaidie jamani mh,rais

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...