Hayati Profesa Mushi
MAZISHI YA HAYATI PROFESA MUSHI YAMEPANGWA KUFANYIKA SIKU YA JUMATANO, SIO JUMANNE KAMA ILIVYOTANGAZWA AWALI,  SHULENI KWAKE (DAR ES SALAAM PRIME HIGH SCHOOL) BUNJU B, DAR.

SIKU HIYO KUTAKUWA NA AWAMU MBILI ZA KUAGA MWILI WA MAREHEMU.

AWAMU YA KWANZA KUAGA MWILI WA MAREHEMU  ITAKUWA NYUMBANI KWA MAREHEMU  VICTORIA (NJIA YA KWENDA HOSPITALI YA KAIRUKI) REGENT ESTATE JIJINI DAR KUANZIA SAA NNE KAMILI ZA ASUBUHI.

AWAMU YA PILI YA KUSALIA NA KUAGA RASMI MWILI WA MAREHEMU ITAKUWA KUANZIA SAA SITA KATIKA UKUMBI WA NKRUMAH HALL CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM. BAADA YA HAPO MSAFARA WA KUELEKEA SHULENI KWAKE BUNJU UTAANZA.

ASANTENI SANA
-SUZAN MZEE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2011

    PROFESSOR MUSHI ALIKUWA NI MMOJA KATI YA WACHACHE WA KADA NA UTU WAKE. MSAHURI WA KUTEGEMEA KWA KIZAZI KILICHOPO NA KIJACHO. TAIFA, JAMII, NDUGU NA FAMILIA WAMEPOTEZA HAZINA KUBWA.

    MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.

    AMANI.

    MAINA A. OWINO.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2011

    RIP Professor.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2011

    MUNGU AKUWEKE MAHALI PEMA PEPONI BABA YETU MPENDWA. ULIKUWA NGUZO YA FAMILIA SASA HATUNA TENA MSHAURI KATIKA FAMILIA YETU SISI WANA SAKIME TUTAKUKUMBUKA SANA NA TUTAZIDI KUKUENZI. KWANI SISI TULIKUPENDA SANA LAKINI MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI

    AMEN

    LILIAN MUSHI(MAMA MAUREEN)TEGETA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2011

    Namshukuru Mungu kwa ajili ya maisha aliyomjalia Prof, ingawa kuondoka kwake kunaumiza sana lakini kwa mengi aliyofanya yataendelea kukumbukwa. Asante Prof Mushi, kwa lecture zako pale Nkurumah, mahali ambapo utaagwa kwa mara ya mwisho, bado zinanipa mwanga wa kukabiliana na changamoto za maisha. Raha ya Milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani. Amina

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...